Mamlaka za kishauri na kiutendaji , katika mipango yao ya ujengaji na uboreshaji wa miundombinu hususani katika madaraja , hivi hakuna aliyefikiri na kushauri juu ya utanuzi wa daraja la mto wami ? .Na kati ya ujenzi wa daraja la sarenda na daraja la wami ni lipi lenye impact katika uchumi wa taifa na usalama wa raia na taifa kwa ujumla?