M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 Jun 25, 2024 #41 wa jina said: Hamna kazi wanayoifanya ,hata wasipolipwa ni sawa. Click to expand... Bila watumishi kulipwa mishahara unadhani hiyo biashara yako ya Madera itatoka? Utayanunua wewe?
wa jina said: Hamna kazi wanayoifanya ,hata wasipolipwa ni sawa. Click to expand... Bila watumishi kulipwa mishahara unadhani hiyo biashara yako ya Madera itatoka? Utayanunua wewe?
M Makojo JF-Expert Member Joined Jan 23, 2014 Posts 4,403 Reaction score 5,392 Jun 25, 2024 #42 majumba 6 said: Kwa TETESI zilizopo serikali haina hela ya kulipa mishahara unasubiri ikusanye kwanza ndipo ianze kulipa napo Kwa mafungu Click to expand... Hii ndio taarifa sahihi
majumba 6 said: Kwa TETESI zilizopo serikali haina hela ya kulipa mishahara unasubiri ikusanye kwanza ndipo ianze kulipa napo Kwa mafungu Click to expand... Hii ndio taarifa sahihi
A Amlodipine500 Senior Member Joined Jun 24, 2024 Posts 109 Reaction score 175 Jun 25, 2024 #43 Majobless wakilalamika kuhusu ajira Huwa mnawatukana Kuwa ni wavivu wajiajiri sasa mbona mshahara kuchelewa kidogo tu mnalalamika nadhani pia huu ni wkt wenu wa kujiajiri
Majobless wakilalamika kuhusu ajira Huwa mnawatukana Kuwa ni wavivu wajiajiri sasa mbona mshahara kuchelewa kidogo tu mnalalamika nadhani pia huu ni wkt wenu wa kujiajiri
DeMostAdmired JF-Expert Member Joined Oct 7, 2017 Posts 1,579 Reaction score 3,798 Jun 25, 2024 #44 Super Sub Steve said: Mfanyakazi haki yake ni.mshahafa,mfanyakazi pekee ambaye .mshahara ulichelewa halalamiki ni Housegirl anayekaa Kwa bosi maana Kila kitu kipo Click to expand... Haaya lalamika badala ya kutafuta pesa
Super Sub Steve said: Mfanyakazi haki yake ni.mshahafa,mfanyakazi pekee ambaye .mshahara ulichelewa halalamiki ni Housegirl anayekaa Kwa bosi maana Kila kitu kipo Click to expand... Haaya lalamika badala ya kutafuta pesa
4 4 7mbatizaji JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 8,406 Reaction score 9,619 Jun 25, 2024 #45 Makojo said: Hii ndio taarifa sahihi Click to expand... Mbona jana niliona post baadhi zinasema watumishi waumma mmelipwa , au wametumika watu kufanya utapeli, dadeki mwafaa
Makojo said: Hii ndio taarifa sahihi Click to expand... Mbona jana niliona post baadhi zinasema watumishi waumma mmelipwa , au wametumika watu kufanya utapeli, dadeki mwafaa
denoo JG JF-Expert Member Joined Oct 27, 2023 Posts 2,701 Reaction score 9,759 Jun 25, 2024 #46 Solix said: Wanafanya ku upload mishahara mipya ya watumishi waliopandishwa ngazi majuzi kati. Hii ni verified report. Click to expand... Ku upload mishahara inachukua siku tatu?! Usiamini huo uongo. Serikali haina pesa jamaa wanaiba kila kinachopita mbele yao huku mama Abdul yupo angani hana habari.
Solix said: Wanafanya ku upload mishahara mipya ya watumishi waliopandishwa ngazi majuzi kati. Hii ni verified report. Click to expand... Ku upload mishahara inachukua siku tatu?! Usiamini huo uongo. Serikali haina pesa jamaa wanaiba kila kinachopita mbele yao huku mama Abdul yupo angani hana habari.
kawombe JF-Expert Member Joined Mar 26, 2015 Posts 14,239 Reaction score 15,876 Jun 25, 2024 #47 Kwani mkataba wako unasemaje? Kuhusu ilo. Na bora sasa mmeambiwa mtakua mnalipwa kuanzia 28-31. KAZI ni kipimo cha UTU
Kwani mkataba wako unasemaje? Kuhusu ilo. Na bora sasa mmeambiwa mtakua mnalipwa kuanzia 28-31. KAZI ni kipimo cha UTU