Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

Serikali imechelewesha mishahara au haina pesa?

Majobless wakilalamika kuhusu ajira Huwa mnawatukana Kuwa ni wavivu wajiajiri sasa mbona mshahara kuchelewa kidogo tu mnalalamika nadhani pia huu ni wkt wenu wa kujiajiri
 
Wanafanya ku upload mishahara mipya ya watumishi waliopandishwa ngazi majuzi kati.
Hii ni verified report.
Ku upload mishahara inachukua siku tatu?!

Usiamini huo uongo.

Serikali haina pesa jamaa wanaiba kila kinachopita mbele yao huku mama Abdul yupo angani hana habari.
 
Kwani mkataba wako unasemaje? Kuhusu ilo. Na bora sasa mmeambiwa mtakua mnalipwa kuanzia 28-31.




KAZI ni kipimo cha UTU
 
Back
Top Bottom