wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,216
- 37,757
😄😄 Wenyewe wanakwambia they're Young,Wild and Free.Hali ni mbaya sana, Kuna siku nipo kitambaa cheupe nikasema acha nijidai mtafiti.. Kila manzi nilie kuwa na mgusa nampanga alafu Nampa hiyo opt hakatai.. karibia 20 hakuna Alie kataa kutoka chemba 🙍🙍.. nikasema kimoyo kimoyo hiki kizazi kina maisha amazing sana japo hatujafikia sodoma na gomora