Serikali imehalalisha biashara ya nyeti bandia?

😄😄 Wenyewe wanakwambia they're Young,Wild and Free.
 
Mmh Alikufa lini mzee?si yule mlemavu wa pale stand Tengeru?
Alishanyoosha goti Samsoni tangu 2015-16. Kuna kipindi flani alikuwa anavukishwa barabara mgongoni na chalii flani wakagongwa Jamaa akafa Samsoni akapona lakini alirushwa kima cha twiga huko. Watu wakawa wanamkwepa kumvusha kwasababu ni gundu. Ila mziki wake wa kutandaza miti jamaa alisifika.
 
Duh aisee longtime sijapita pande hizo,sikujua kama ameshang'ata shuka arifu.
 
Mnashangaa? mwanamke ni kiumbe ambacho hakiridhiki kwa kila kitu..haridhiki na rangi yake mungu aliompa..kucha wanaweka za bandia,nyusi wananyoa halafu wanapaka wanja😂😂....matako wanachoma sindano ili yawe makubwa......hata uume wa asili hawezi kuridhika nao
 
Haya mambo Mara nyingi huwa tunapenda kuyaongelea kwa lugha nyepesi, lakini believe me hii Ni satanic project. Hili Ni Jambo la kuombea Sana.

Ibilisi anajua kwa kuangamiza au kudhoofisha status ya wanaume, kiuchumi, kiakili na kimwili atakuja amevuruga vya kutosha mpango wa Mungu kiuumbaji na utiishaji wa Dunia.

Using dildos is exactly having sex with demons. They will alot to make women satisfied, but in the end they are going to be utterly destroyed.
Mapepo hayatakaa yawe rafiki na binadam.
 
Tatizo vijana wanashindia chips unategemea nini?

Unakuta kijana amekaa na smart phone huku anatafuna chips anashua na mirinda, unategemea nini hapo?

Enzi zetu mambo haya hayakuwepo kabisa.
Nina ujumbe wako inbobo😊
 
Kuna watu bado wanamitazamo ya ovyo nakujidanganya mfano mtu anapodai ulaji wa chips ndiyo sababu, pasipo kufikiria chanzo cha chips ni viazi ambavyo vinatoka huko huko mkoani na walimaji ni hao hao wamikoani uandaaji wake ni kama mapishi mengine tu na ni chanzo cha wanga je ulaji wa wanga unashida? Shida ni utandawazi na wazungu wanayafanya hayo yote ni katika harakati zakupunguza uzazi tu ndiyo mana kila kukicha zinaletwa option kama hizi zakujiridhisha kwa wanawake wenyewe.
 
Kunywa soda af ludia Tena kwa sauti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…