Serikali imeleta mtaala butu SHULENI Usiotekelezeka nashauri uondolewe mara moja

CAMANGA

Member
Joined
May 14, 2023
Posts
72
Reaction score
299
Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu

Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa

1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi

2. Mtoto darasa la kwanza wa kisukuma aanze kusoma na miaka sita huku akiwa na masomo zaidi ya sita + somo la kiingereza ambapo walimu pia hamna yaani mpaka Sasa shule nyingi mtoto wa darasa la kwanza hajapata ujuzi uliokusudiwa

3. Mtoto darasa la tatu hakuna hardcopy za vitabu walimu wanaazimana simu maana hata consistency ya kugawa vishkwambi kwa walimu serikali imeshindwa Wala Haina budget ya hivo vishkwambi, katika shule nyingi saivi walimu wenye vishkwambi hawazidi watatu
Nashauri Kila mwaka wa Budget walimu wapewe vishkwambi vipya,

4. Kuna somo la coding linaloanza darasa la tatu huku likilenga Kuweka msingi kwa kucheza electronic game , ambalo hili somo ni ngumu kuwafikia walengwa(wanafunzi) maana hata hivo vifaa vya kuinstall hizo games hamna

5. Mazingira ya walimu hovyo ofisi zao kama stoo, vifaa wezeshi kwa walimu hamna, kamshahara kaduchu , maslahi mengine kwa walimu hamna yaani ni tabu tupu.

Kuna kundi kubwa la watoto litamaliza halina ujuzi kitu ambacho ni hatari kwa taifa , hatua za haraka na za makusudi zichukuliwe , hata upimaji wa mitihani hii inayokuja kupima watoto wetu kiwilaya ni ya hovyo hovyo tu , wakuu wa shule wanashindana namna ya kutengeneza matokeo Ili aonekane na afisa elimu kuwa anafaulisha
 
5. Mazingira ya walimu hivyo ofisi zao kama stoo, vifaa wezeshi kwa walimu hamna, kamshahara kaduchu , maslahi mengine kwa walimu hamna yaani ni tabu tupu
Anzeni hivyo hivyo,makosa , Changamoto zitaendelea kutatuliwa kadiri zinavyobuka.

Sema ilitakiwa waanze rasmi kuutekeleza mwaka ujao Ili wajiandae kidogo Kwa kuteua Mkoa au Wilaya chache kama pilots
 
Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu

Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa

1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi

2. Mtoto darasa la kwanza wa kisukuma aanze kusoma na miaka sita huku akiwa na masomo zaidi ya sita + somo la kiingereza ambapo walimu pia hamna yaani mpaka Sasa shule nyingi mtoto wa darasa la kwanza hajapata ujuzi uliokusudiwa

3. Mtoto darasa la tatu hakuna hardcopy za vitabu walimu wanaazimana simu maana hata consistency ya kugawa vishkwambi kwa walimu serikali imeshindwa Wala Haina budget ya hivo vishkwambi, katika shule nyingi saivi walimu wenye vishkwambi hawazidi watatu
Nashauri Kila mwaka wa Budget walimu wapewe vishkwambi vipya,

4. Kuna somo la coding linaloanza darasa la tatu huku likilenga Kuweka msingi kwa kucheza electronic game , ambalo hili somo ni ngumu kuwafikia walengwa(wanafunzi) maana hata hivo vifaa vya kuinstall hizo games hamna

5. Mazingira ya walimu hovyo ofisi zao kama stoo, vifaa wezeshi kwa walimu hamna, kamshahara kaduchu , maslahi mengine kwa walimu hamna yaani ni tabu tupu
Tunapoelekea zitabaki shule za private pekee
 
Anzeni hivyo hivyo,makosa , Changamoto zitaendelea kutatuliwa kadiri zinavyobuka.

Sema ilitakiwa waanze rasmi kuutekeleza mwaka ujao Ili wajiandae kidogo Kwa kuteua Mkoa au Wilaya chache kama pilots
Yaani ni hatari Kuna kundi kubwa la watoto litamaliza halina ujuzi kitu ambacho ni hatari kwa taifa , hatua za haraka na za makusudi zichukuliwe , hata upimaji wa mitihani hii inayokuja kupima watoto wetu kiwilaya ni ya hovyo hovyo tu , wakuu wa shule wanashindana namna ya kutengeneza matokeo Ili aonekane na afisa elimu kuwa anafaulisha
 
Walimu ndio mnhusika
 
Anzeni hivyo hivyo,makosa , Changamoto zitaendelea kutatuliwa kadiri zinavyobuka.

Sema ilitakiwa waanze rasmi kuutekeleza mwaka ujao Ili wajiandae kidogo Kwa kuteua Mkoa au Wilaya chache kama pilots
Ilitakiwa iwe lazima watoto wa viongozi wote wa umma wasome katika shule za umma ndio serikali ingekuwa serious vay kutosha na elimu ya Watanzania wote.
 
Huu mtaala ni mzuri kuuangalia na kuusimulia lakini utekelezeaji wake ni mgumu na hauwezekani katika mazingira yetu

Walimu ambao sisi ndo wadau wakuu wa elimu hatukushirikishwa labda tusingekuwa hapa

1. Vitabu mpaka Leo mwaka unaenda KUISHA havipo mashuleni hasa kwa shule za msingi

2. Mtoto darasa la kwanza wa kisukuma aanze kusoma na miaka sita huku akiwa na masomo zaidi ya sita + somo la kiingereza ambapo walimu pia hamna yaani mpaka Sasa shule nyingi mtoto wa darasa la kwanza hajapata ujuzi uliokusudiwa

3. Mtoto darasa la tatu hakuna hardcopy za vitabu walimu wanaazimana simu maana hata consistency ya kugawa vishkwambi kwa walimu serikali imeshindwa Wala Haina budget ya hivo vishkwambi, katika shule nyingi saivi walimu wenye vishkwambi hawazidi watatu
Nashauri Kila mwaka wa Budget walimu wapewe vishkwambi vipya,

4. Kuna somo la coding linaloanza darasa la tatu huku likilenga Kuweka msingi kwa kucheza electronic game , ambalo hili somo ni ngumu kuwafikia walengwa(wanafunzi) maana hata hivo vifaa vya kuinstall hizo games hamna

5. Mazingira ya walimu hovyo ofisi zao kama stoo, vifaa wezeshi kwa walimu hamna, kamshahara kaduchu , maslahi mengine kwa walimu hamna yaani ni tabu tupu.

Kuna kundi kubwa la watoto litamaliza halina ujuzi kitu ambacho ni hatari kwa taifa , hatua za haraka na za makusudi zichukuliwe , hata upimaji wa mitihani hii inayokuja kupima watoto wetu kiwilaya ni ya hovyo hovyo tu , wakuu wa shule wanashindana namna ya kutengeneza matokeo Ili aonekane na afisa elimu kuwa anafaulisha
Mimi nakushauri kama wewe huwezi uwache wewe hiyo kazi. Haikufai.
 
CCM hataki kuleta vitabu Ili iendelee kutengeneza wajinga wengi wasio na elimu ili waendelee kutawalaa milele ..

Mzazi pambania mwanao
 
Pole Sana mkuu

MAISHA ya Mwalimu Tanzania hajawaiga kuwa marahisi
 
Ndiyo maana wenye pesa wanapeleka international schools.
 
Sio kipaumbele chetu kwa sasa

Nyuma kabisa ya darasa.
 
Ilitakiwa iwe lazima watoto wa viongozi wote wa umma wasome katika shule za umma ndio serikali ingekuwa serious vay kutosha na elimu ya Watanzania wote.
Kwani kuna mtu analazimishwa Kupeleka Watoto shule za Umma?
 
Hapo penye coding, kijijini kwetu zhule nzima kuscan nyaraka kwa kutumia simu hawajui. Coding wataolijulia wapi?
 
Back
Top Bottom