Serikali imeleta mtaala butu SHULENI Usiotekelezeka nashauri uondolewe mara moja

Mtoto kuchagua somo mojawapo la lugha mfano kichina sijui kiarabu eti lianzie darasa la 3, hapo bado mtoto huyo darasa la 3 hajajua vizuri kiingereza, alafu unaanza kumfunza kiarabu au kichina, huyo mtoto darasa la 3 lazima atachangaya sana mambo katika ubongo wake, yaani their brain will be overloaded sanaaa, sielewi kwanini hizo lugha wame introduce katika New Curriculum, hakuna haja ya mtoto mdogo darasa la 3 ahangaike kusoma kichina au kiarabu, huku kingereza chenyewe kinampa shida, hapa Waziri wa Elimu hakuangalia kabisa ugumu wa jambo hili zito sana with respect na watoto wetu, kiingereza tu bado shida, unamwambia mtoto haya soma kichina pia au kiarabu chagua moja hapo, huyo mtoto atavurugikiwa kabisa.!!

Hii sio sawa…!! Lugha za watu hizi zisiwe lazima kusoma with exception ya English..!!
 
Serikali hii ni ya kipumbavu sana!
 
uache sio uwache, usituletee Kiswahili cha Kipemba hapa.
Wewe huna ubavu wa kukijuwa Kiswahili kuliko Waswahili.

Niliwahi kuandika hivi, hapa hapa JF:


 
Kujuwa lugha ya pili na zaidi ni kupanua sana mawazo, kwa wenye kuelewa.

Wengi wenu hapa Tanzania, ambao lugha mama kwenu siyo Kiswahili, mmepanuka mawazo japo kiduchu mlipokielewa Kiswahili.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…