Serikali imempa Mwamposa kiwanja Cha umma lakini Yanga hadi leo wanasumbuliwa ujenzi wa uwanja jangwani

technically

JF-Expert Member
Joined
Jul 3, 2016
Posts
13,718
Reaction score
58,893
Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja

Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma?

Vibali vya ujenzi wa uwanja kwanini serikali inavikatalia ?

Kuna ajenda gani kwenye hizi Simba na Yanga serikali kukwamisha Maendeleo yao?
 
Hiyo tv ulikua unatizama peke yako!
 
Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja

Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma?

Vibali vya ujenzi wa uwanja kwanini serikali inavikatalia ?

Kuna ajenda gani kwenye hizi Simba na Yanga serikali kukwamisha Maendeleo yao?
Ushirikiano ni muhimu penye shida, jiulize tukio la Mwamposa kule Moshi ilikuwaje likaishia polisi kimyakimya.
 
Back
Top Bottom