Mwaka 4 huu yanga bila bila serikali ya Samia imekwamisha vibari na eneo kidogo la kuongezwa kujenga uwanja
Je Mwamposa ni special kuliko taasisi zingine za umma?
Vibali vya ujenzi wa uwanja kwanini serikali inavikatalia ?
Kuna ajenda gani kwenye hizi Simba na Yanga serikali kukwamisha Maendeleo yao?