Tetesi: Serikali imeondoa Posho za Safari Mpya kimyakimya?

Private sector wanapata shida sana kuitisha kikao kulipa rate Mpya.

Inakuwaje Rais anaingizwa kwenye mtego wa kuruhusu rate mpya za posho, inamaana uchunguzi haukufanyika.

Serikali inakazia hizi rate Mpya zitaanza kutumika kwenye budget Mpya
 
Uongozi wa sa100 janja janja nyingi sana..no wonder miradi imesimama.

Yeye anachojua ni kukopa..kisha kuwalambisha asali wafanyabiashara wenzake na timu mgaso.

#MaendeleoHayanaChama
Dikteta alikuwa hakopi
 
Na huu ni ukwel mchungu ambao wengne hawataki kuukubali
Waziri wa Fedha bora kabisa alitepigwa vita ya udini kuwa eti amejenga Msikiti Wizarani!!

Nalikumbuka gazeti la Motomoto na Uhuru ndo yaliongoza kwa propaganda hii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…