Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

Acha uongo, mapato ya bandari hayazidi tr 1.3na matumizi ni bil 900
 
Muswada mzima huu hapa.
View attachment 2678846
 
Hii ni sawa na kutudharau wananchi
Wanasema “kwani watatufanya nini?”
Jamani mliokuwa mnamsifia eti ni msikivu mbona mko kimya? [emoji1787]
#TutaelewanaTu lakini[emoji419][emoji375]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huu mkakati ni wakuirudishia ZNZ PWANI YA TANGANYIKA
 
Nchi inapokua na Rais mwenye nia ovu.
 
Sasa ndio tunaona Madhara yake DP world
 
Kwa hiyi na Sheria za Madini na Mikataba yake tutaanza kuzipitia lini?
 
Magufuli aliona mbali sana , alichukua kams somo makosa ya waliopita akaweka sheria kwa bunge kams msimamizi mkuu wa serikali kiutendaji ,, hence we returt to the first point
 
Magufuli alijitahidi akatunga sheria ya Rasilimali na Sovereignity ili angalau kutulindia rasilimali zilizobaki. Cha ajabu msaidizi wake wa karibu, aliyekuwa makamu wake anakuja kubadili hiyo sheria ili ampe mwarabu rasilimali zetu. So sad indeed!

Watanzania bila kufanya maamuzi magumu tutajikuta sisi ni wanyama katika zoo hii kubwa iitwayo Tanzania, ila rasilimali zitakuwa ni za "binadamu" waitwao "wageni".

Let us Raise up and reject this non-sense.
 
Hilo bunge linakaa nyumbani kwenu? Kuna bunge sahivi? Hivi huoni aibu kuleta uzushi wa kipuuzi km huu? Acheni rais afanye kazi yake, km we unaihitaji subiri 2025 uchukue fomu.
Raisi afanye kazi yake au ujinga wake ,housgirl wangu tukimpa hlyo nafssi atafanya makubwa kuliko huyu mama nimejiridhisha na hilo
 
Bro, kuna kitu hujakisoma vizuri. Inshu iliyopo hapo ni kitu ambacho hakizungumzwi kabisaa...."Muungano".
No issue ni wabunge fake bungeni. Hili suala lisingepita kama tungekuwa na bunge makini. Hata suala la muungano lingewekwa linapostahili kama bunge lipo vizuri.
Kiwapa Dpw sio tatizo kwangu ila vipengere vya makubariano havjijakaa sawa.
 
Nyie CDM si mlianza kumsifia na kumuona mzuri kuliko mwenda zake .naye akajion ni KICHWA Kuliko mtangulizi wake
 
Magufuli aliona mbali sana , alichukua kams somo makosa ya waliopita akaweka sheria kwa bunge kams msimamizi mkuu wa serikali kiutendaji ,, hence we returt to the first point
Huyo Magufuli tena usimtaje kabisa ndio chanzo cha yote, kaiba uchaguzi yeye na be mkubwa akaenda mbali zaidi katuchagulia wabunge akina babu tale na ili watuuze vuzuri achana naye.
 
Kij

JW hawawezi kufanya kitu chochote. Rais ni mkuu wao
Mtu awezi kushika hata bunduki nauza bandari na anga anakuaje mkuu wao?

Wanalinda mipaka gani anga letu limeuzwa kwa warabu ?

Jw tusaide kuondoa ccm tuitishe uchaguzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…