Serikali imependekeza Sheria zinazolinda Maliasili na Kuikinga Nchi na Mikataba Mibovu zisitumike kwa DP World

Mtu awezi kushika hata bunduki nauza bandari na anga anakuaje mkuu wao?

Wanalinda mipaka gani anga letu limeuzwa kwa warabu ?

Jw tusaide kuondoa ccm tuitishe uchaguzi.
WEWE ANGA LIMEUZWA KWA MAREKANI sio warabu, jielewe pale alipokuja Busha kisha Obama
Walinzi wetu wote walienguliwa viwanja vya ndege na ikulu. na kila sehemu.
Wako walio lalama ,lakini ndio uhalisia , Hatuna letu na Ulinzi wetu si salama kwa Wamarekani wenye Hofu ya Ugaidi na kuwindwa.
 
Kiwango chako cha chini mno unajikuza Kwa udini tu. Mkataba wenu wa Kimangungo ndo ulivyotaka sheria za ndani ziwapendelee DPW, hapa unasema sheria za ndani haziihusu DPW, Una akili kweli?
 
Kiwango chako cha chini mno unajikuza Kwa udini tu. Mkataba wenu wa Kimangungo ndo ulivyotaka sheria za ndani ziwapendelee DPW, hapa unasema sheria za ndani haziihusu DPW, Una akili kweli?
Unauongelea mkataba upi? IGA?

Au unao mwengine?
 
Ninaota ota njozi za kuogofya kuhusu Tanzania Yangu.

Tusiache kumlilia Mungu kila mmoja kwa sauti yake, hakika ATATUSIKIA
 
Kitendo chochote cha kufuta sheria zinazolinda Rasilimali zetu za Nchi na kuweka sheria zinazohujumu Rasilimali zetu kitatafsiriwa kuwa ni Uhaini, na yeyote atakayewezesha kwa namna yoyote ile kufanikisha kufuta sheria zinazolinda Rasilimali zetu za Nchi, atahesabika kama ni Mhaini, hivyo atachukuliwa hatua kali sawasawa na Uhaini wake.
 
Huu ni uhaini.

Hivi Jeshi la Wananchi wa Tanzania liko wapi kuzuia hii Treason?

Au siku hizi Jeshi letu limebaki na mambo ya kupasua matofali kwa kichwa ila haliwezi kuzuia Uhaini wa wazi namna hii?
Hapa ndipo tunapaswa kujua tuna USALAMA WA TAIFA au tuna USALAMA WA WALA TAIFA!! Usalama wa Taifa mko wapi?
 
Treason? Is more than that
Mama how dare you!! Halafu bila aibu unasema (kwa sauti ya kubana pua): "hakuna mwenye ubavu wa kuiuza nchi yetu"!! Unasema hayo wakati umeshauza tayari na sasa unahangaika kubadili sheria uliyoikiuka ili uandike sheria inayoruhusu uuzwaji wa nchi yetu!! Kauze huko zanzibar!!
 
Samia bado kang'ang'ania kubadili sheria ya kizalendo kabisa ili kumuwezesha mwarabu kutwaa bandari zetu.
Hii ni aibu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…