Serikali imepiga chenga kwa wananchi kuhusu tozo

MakinikiA

JF-Expert Member
Joined
Jun 7, 2017
Posts
5,104
Reaction score
6,827
Salama wandugu,
Kwanza kabisa tujipongeze wana JF kwa maoni na makelele tuliyopiga hapa mpaka kupelekea sheria kurudishwa bungeni ,nampongeza Samia na Mwigulu japo kwa usikivu ila mlichofanya siyo sahihi japo baadhi wanasifia kama mazuzu vile
Ipo hivi kilichotolewa tozo ni miamala ya bank to bank,bank to sim au sim to bank ila ile ya walalahoi yaani simu to simu au kutoa kwa wakala sijaona marekebisho yoyote na maumivu kwa mnyonge kuendelea
Sasa sijajua Samia kadanganywa au na yeye anafahamu kazi kwekweli nchi hiii!!
 
Wizara ya fedha ...........!!!!
 
Back
Top Bottom