Cathelin
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 2,071
- 3,995
Hii kesi serikali ilijiaminisha hatari, Sirro akatangazia dunia kuwa wanao ushaidi wa kutosha wa kumtia hatiani Mbowe, Tena akataja wanao mashaidi 24. Walidhani wataendesha kesi gizani, ndo maana mwanzoni walikuwa wanakataza watu wasiingie mahakamani. ASP Kingai alifikia hatua ya kumwambia Mbowe kuwa safari hii hatoki.
Mashitaka yalikuwa na page 224[emoji1], hadi Sasa Jamuhuri wamefunga ushahidi, DCI mstaafu ni Kama amesitiliwa maana angekanyaga kizimbani angekoma. Sasa endapo kina Mbowe watakuwa na kesi ya kujibu itakuwa pigo kwa Sabaya,Sirro na DGIS( Diwani) maana kina Kibatara waliwaweka Kama mashaidi wa utetezi. Itapidi wapande kizimbani kutoa ushaidi.
Wakiwakuta hawana kesi ya kujibu, itakuwa pigo kwa Hangaya na polisi maana watakuwa wameumbuka, na Mbowe atakuja na spirit Kali Sana na hatokuwa anaogopa kitu labda wampige risasi
Nilisema matokeo yeyote ya hii kesi Mbowe ndo mshindi