Kwa kuwa Chadema Wana kelele sana, hii kesi haitaisha katika no case to answer, itaenda mpaka utetezi, kule Jaji Ephery Kisanya, aliyekuwa Msaidizi wa mwanasheria mkuu(private secretary) anaikimbiza kesi ya Sabaya ili Mbowe na Sabaya wakutane gerezani, Jana kakataa kuisogeza mbele ili Moses Mahuna wakili wa sabaya afike, kwa hiyo hapa kuna mawili, Mbowe na Sabaya wakutane gerezani wakazichape wamalize bifu lao(sabaya atakuwa nyapara wa Mbowe gerezani) au wote waachiwe, Chadema mtachagua muanze kufurahia na kununia lipi.
Sisi Chadema wenye roho nzuri tutamuomba mama atoe msamaha wa Rais kwa Mbowe, aliteleza tu kutenda uhalifu, ila wale maafande wajipange