Serikali imeshikwa pabaya sana kesi ya Mbowe na wenzake

Nyo nyo nyo[emoji1][emoji1]
 
Mbowe atakuwa mshindi kwa nyie RAIA mnaona haki haitendeki na bado mpo kimya-atakuwa mshindi hadi hapo SAMIA na CCM yake wakitaka,vinginevyo atafungwa na nyie mpo tu nyumba ya keyboard na twitter.
Si afungwe Sasa kwani tumebisha Tena ugaidi Ni miaka 30[emoji1]
 
Mbowe atakuwa mshindi kwa nyie RAIA mnaona haki haitendeki na bado mpo kimya-atakuwa mshindi hadi hapo SAMIA na CCM yake wakitaka,vinginevyo atafungwa na nyie mpo tu nyumba ya keyboard na twitter.
Na wewe uko wapi juu au mbele ya key board??
 
Bado natafakari mengi katika aridhi yangu ya Tanzania,ninajiuliza maswali mengi majibu Sina, je? tunapoenda kusali tuna maanisha? je ? tuna amini kabisa kutenda dhambi ya kusema uongo ni kosa kwa Mungu?.Au watanzania tuliowengi tunaenda kanisani kama fashion? ili watu watuone kuwa nasi tu wafuasi wa dini.Kwa maoni yangu watanzania wengi tunaenda kanisani kinafiki tu.Tungekuwa serious na dini zetu haya mambo ya hovyo yasingekuwepo Kwenye Jamii yetu.Na mhe, Mbowe angekuwa anaendelea na Maisha yake kama kawaida tu.Kwa sababu watu tungekuwa na hofu ya Mungu.
 
Stupid
 
Nchi za kiafrika zinajichimbia kaburi na kujizika kisha zinasingizia mabeberu.

WAKE UP, RISE UP AFRICANS.
 
Mungu angekuwa na nafasi katika nafsi za watanzania, tusingekuwa tunatawaliwa kwa uongo miaka 60.
 
SSH kujisafisha amtoe Sirro itaonekana alidanganywa na anapenda haki
 
Serikali imeshakosa interest na hii kesi.
 
Ndio maana Bwana Dalali kutoka Kigoma alikazana sana kutaka Mbowe aombe radhi, paymasters wake itakuwa walishamwambia tunaenda kupata aibu, fanya jambo!
 
Mbowe akitoka polisi watakuwa na aleji nae wataogopa kumsogelea
Jidanganyeni/poleni sana..
Hivi unajua katika nchi yoyote ile hata huko dunia akatokea mmoja wao awe mwanasiasa au raia wa kawaida naserikali ikaona kuwa atasumbua hivi unajua wanafanyaje?
Ngoja nichomekee neti kwanza
 
Mungu angekuwa na nafasi katika nafsi za watanzania, tusingekuwa tunatawaliwa kwa uongo miaka 60.
Mkuu hili ndo nimeliandika hapa haiwezekani Ukasimame kusema uongo hadharani watu maelfu kwa maelfu wakusikie na pengine kukuona unasema uongo wa dhahili Kisha siku inayofuata unapiga magoti kanisani.Huu ni unafiki wa kiwango Cha lami na utatufikisha pabaya tuwe na hofu ya Mungu sio kuharibu Maisha ya mwenzio kiasi hicho
 
Jaji akija na uamuzi kuwa kuna kesi nafikiri Maza, Boaz na Sirro watakuwa mashahidi wazuri sana......!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…