Serikali imeshikwa pabaya sana kesi ya Mbowe na wenzake

Kina Kingai hawawezi kukuelewa
 
Jidanganyeni/poleni sana..
Hivi unajua katika nchi yoyote ile hata huko dunia akatokea mmoja wao awe mwanasiasa au raia wa kawaida naserikali ikaona kuwa atasumbua hivi unajua wanafanyaje?
Ngoja nichomekee neti kwanza
Rubbish Trump anamsumbua Biden aswaaa, narudia aswaaa, refer campaign zake uko Texas, na Arizona,,,wamemfanyaje[emoji57]
 
Rubbish Trump anamsumbua Biden aswaaa, narudia aswaaa, refer campaign zake uko Texas, na Arizona,,,wamemfanyaje[emoji57]
Hawa ni mazumbukuku, wanachoambiwa wanameza tu. Trump alishaanza kampeni za 2024 mara baada ya Biden kuapishwa
 
Mimi toka lissu alipopigwa risasi na bado akapokonywa ubunge ndipo nilipoamini ccm ni chama cha mashetani.
 
Mimi toka lissu alipopigwa risasi na bado akapokonywa ubunge ndipo nilipoamini ccm ni chama cha mashetani.
Mkuu what "goes around comes around" Amini Amini nakuambia Mungu huwa analipa hapa hapa duniani nazani unanielewa wote waliohusika Mungu ameshajidhihilisha kwao.Tatizo watanzania hatutaki kujifunza kwa yaliyopita lkn unaweza ukauona ukuu wa Mungu.Yuko wapi Ndungai aliyesimama Bungeni kusema Tundu Lissu hajulikani alipo amesahau kuwa siku ya tukio alikuwepo na watanzania wote tulimuona lkn kisa madaraka akamkana Lissu kama Petro alivyomkana Yesu.Lkn Mungu yupo kzn daima na alikuwa upande wa Lissu kama alivyokuwa upande wa Daudi daima awapo vitani.
 
 
Hawa ni mazumbukuku, wanachoambiwa wanameza tu. Trump alishaanza kampeni za 2024 mara baada ya Biden kuapishwa
Acha tu mkuu Trump amewashika Democrats yaani sio Pelosi, Schumer,au Biden wote Wana hala
 
Nimeshangaa sana kwa nini DCI shahidi muhimu sana kwenye kesi hii kubwa ya UGAIDI kushindwa kwenda kutoa ushahidi wake.
 
Inatosha SASA Kwa akina mbowe kukaa jela
Mungu afanye njia Kwa akina mbowe waweze kuwa huru
yee babaa, ili tuendelee na harakati zetu za kudai KATIBA MPYA tukiwa na kamanda wetu - zege halilali yaani kwa kesi hii ni kama wameifanyia service engine yetu.
 
Wamejitafutia laana tupu.
Usishangae Jaji akasema wama kesi ya kujibu. Nasema hivi kwa grounds tatu.
1. Kumbuka kuna jaji alihongwa cheo kwenye hii kesi
2. Kama state ndio wako nyuma ya hii kesi hata hukumu jaji aliepo anapewa kusoma hukumu tuu. Huwezi nishawishi jaji anaweza kufanya majumuisho ya karatasi 1500 kwa siku mbili.
3. Kwa sasa Tanzania hakuna mahakama bali kuna chama cha siasa kinaitwa mahakama.
4. Kuna baadhi ya maamuzi huyu jaji alikuwa anaonekana nae kama wakili upande wa mashtaka.
All in all Mungu huwapatiliza waovu sasa sawa na matendo yao.
Wataandika hukumu mbaya lakini atakae soma atapigwa upofu.. #Mbowe sio gaidi
 
Never
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…