Serikali imeshindwa kuendesha NHIF

Hilo la viongozi kumiliki mabasi na malori na kuua treni nililiwaza ila nikasema inategemea iwapo Bimkubwa nae yumo kwenye hiyo bizness kama hayumo litawezekana na Maza kuacha legacy ya reli maana yule wa Msoga kaacha legacy yake kujenga barabara.

Unaweza kuwaza kivingine kama yale mashirika binafsi ya ndege ya viongozi yalivyoua ATC ila mbona huko imewezekana na ndege zimenunuliwa.

Waambiwe malori na mabasi yao wapeleke Burundi nchi inahitaji reli kupunguza umaskini kwa haraka kwa watu wengi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…