The Watchman
JF-Expert Member
- Nov 7, 2023
- 2,186
- 4,940
Serikali imetenga kiasi cha Shilingi Milioni 100 kukamilisha Ujenzi wa Zahanati ya Kijiji cha Ugele Kilichopo Manispaa ya Iringa lengo likiwa ni kusogeza huduma za afya kwa Wananchi hususani wakina Mama Wajawazito.
Wakizungumza Wananchi wa Kijiji hicho wamesema Zahanat hiyo itakwenda kuwa Mkombozi kwao kwani wamekuwa wakiteseka kwa muda mrefu kufuata huduma za afya kata Jirani huku gharama za Usafiri zikitajwa kuwa ni changamoto.