Rashda Zunde
JF-Expert Member
- May 28, 2022
- 204
- 231
Serikali imetenga zaidi ya Sh160 milioni kwa ajili ya kujenga kituo cha kukusanya maziwa Msomera ili kuhakikisha wawekezaji wanaenda kuwekeza.
Serikali inataka kuwa na vituo vya kukusanya maziwa na kituo kikubwa kwa Handeni kitakuwa Msomera.
Hii itasaidia wawekezaji zaidi kwenda Msomera na kuwekeza.