Serikali imetoa leseni zaidi ya 30 kwa wachimbaji wadogo 400 huko Kwimba,Mwanza

Serikali imetoa leseni zaidi ya 30 kwa wachimbaji wadogo 400 huko Kwimba,Mwanza

Zack Abdul

JF-Expert Member
Joined
Mar 9, 2026
Posts
1,194
Reaction score
911
Kati ya mwaka 2025 na 2026, Serikali imeendelea kuwawezesha wachimbaji wadogo kupitia mafunzo na upatikanaji wa maeneo rasmi ya uchimbaji. Jumla ya vijana 1,239 wamepatiwa mafunzo ya uchimbaji salama, utunzaji wa mazingira na uchenjuaji, huku maeneo 99 ya vitalu yakitengwa rasmi kwa ajili ya uchimbaji madini. Mwaka 2026, leseni 30 za uchimbaji mdogo ziligawiwa kwa wachimbaji 400 katika Wilaya ya Kwimba, Mwanza, hatua inayolenga kuongeza usalama, tija na fursa za kiuchumi katika sekta ya madini.
IMG-20260928-WA0016.jpg
 
Back
Top Bottom