Serikali imeungana na Dunia ya Kwanza kuwakandamiza Masikini. Acha wakandamizwe tu

Unataka kusemaje mkuu.
 
Huko wanaishi watu au hayawani.🀣🀣🀣
 
Ukiwaambia waswahili haya wataona kama unataka kuwapeleka Utumwani,, wamesahau already wapo kwenye Utumwa.

Kuendana na kasi ya Dunia hatuna huo uwezo., tunazidi kupoteza vizazi creative na tuna depend kwa wao.
Acheni uongo na kudanganya watu.
 
Unataka kusemaje mkuu.
Ninachotaka kusema magufuli alitumia nguvu kwa aina yake na ufundi wake kuiletea maendeleo nchi yake na kuwalinda watu wake kisawasawa .
Huwezi kushindana na mtu mkali kwa kumfanya ajione yeye anaogopwa huwezi kumtoa siafu kwenye ngozi kwa kusema ondoka lazima umng'oe huwezi kuacha dhambi kwa kujibembeleza ni lazima utumie nguvu kuiacha
Nchi zinazotetea demokrasia zinatumia demokrasia kunyonya nchi maskini na kujaribu kuitawala dunia kwa mgongo huo kumbuka pia nchi hizo zinazodai kuwa za kidemokrasia zinaendesha muungano wa kijeshi wa NATO unaowajibika katika mauaji duniani gaddafi na viongozi wengi wameuawa chini ya muungano huu wa kijeshi je huu si udikteta kuvamia nchi za watu na kufanya mauaji na machafu mengi ya ovyo yapo ndani ya hii demokrasia
Kiufupi ndio maana putin alisema hajui kwa nini nato bado ipo ni hatari kwake kuwa na mbwa wa nato wanaochungulia kwa nchi yake ndio sababu anawatoa karibu yake kwa nguvu kubwa kwa sababu maneno tupu haingewezekana.
Magu pia alikaataa wachina wasijenge military base yao bagamoyo na kwa sababu wana uchu wakageuza mradi uwe wa bandari bado akagoma lengo si kuwa na tija ila mbwa wa jirani yako akiwa karibu lolote laweza tokea .
Na akakataa mikopo nyote mnajua mikopo ina riba sasa matrioni yamekopwa mtakua mbwa wa mkopeshaji wenu chochote atachosema mtamtii na chochote atachodai mtampa mkumbuke mikopo inaongezeka riba kila mwaka basi msubiri kuuza migodi kuporwa mashirika kuuza miradi au hata kukubali masharti ya kipuuzi kabisa.

Hakuna atakayeendelea kwa kukopa
Huo ni uongo
Hatutaendelea kwa kubembelezana
Hilo liko wazi
Hakuna ukuu pasipo udikteta. Ujerumani ya adolf hitler china ya mao ze dong n.korea ya Kim ulaya ya ukoloni na marekani ya kijasusi Urusi ya kikomunisti japani ya utawala wa kijeshi italy ya ubepari wa kidini uarabuni ya kifalme ndio zimefanya mataifa yote hayo yawe makubwa leo
Salia mnyonge uonewe
Au tupambane na hali zetu kama magu alivyotaka au kama gaddafi alivyoona

Sisi hatujatumia unyama kuendelea
Tulitumia maarifa ya magu chap

Sasa na hayo matrioni mliyokopa yapo wapi sasa .

Tumsingizie magu kwa vile kafa
Acheni hizo
Magu hakuwa dikteta iko hivyo
Itakua hivyo.
Alitumia nguvu kulinda wananchi wake.
 
Kwa kuwa kutoa maoni ni uhuru wa mtu basi sawa. Haya ni maoni yako binafsi
 
Kinyume cha moja sio sifuri ni hasi moja, mtu kazungumzia aliyepo sasa wewe unamlazimisha awe mfuasi wa aliyepita, kwan kila lifanyikalo sasa ni kinyume cha waliopita?
 
Kichwa kinauma ngoja nikalewe nilale

Ningekuwa mimi ni rais......

Sijui ingekuwaje
 
Ni kiri wazi hili ni moja ya bandiko lako bora kuwahi kusoma.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…