KERO Serikali imewadhulumu madaraja wafanyakazi walioajiriwa mwaka 2014 na mpaka leo hakuna mtetezi

Hii ni kero ambayo mwananchi ameiwasilisha JF akitaka wahusika kuchukua hatua

Mlalamikaji daily

JF-Expert Member
Joined
May 19, 2014
Posts
1,018
Reaction score
2,366
Wale walioajiriwa mwaka 2014 walikaa miaka 7 (miaka saba) Kwa lugha ya who are you (SEVEN YEARS) bila kupata nyongeza wala kupandishwa daraja bila kosa lolote! imagine kuanzia mwaka 2014 wakaja kupanda daraja mwaka 2021! pamoja na nia nzuri ya serikali LAKINI kuna haja ya kufidiwa hili daraja moja ambalo walipaswa kupewa mwaka 2018,

1 Tim 5:17-18​

Wazee watawalao vema na wahesabiwe kustahili heshima maradufu; hasa wao wajitaabishao kwa kuhutubu na kufundisha. Kwa maana andiko lasema, Usimfunge kinywa ng’ombe apurapo nafaka. Na tena, Mtenda kazi astahili ujira wake.

tuache dhuluma

kwa leo ni hayo tu
 
Kulikuwa na ahadi yoyote iliyo tolewa na hii serikali haramu mwaka huo?
 
Nyie wapumbavu si ndio mnaomwona Magufuli kama Mungu wenu!!!

Samia hana baya ni mpambanaji na ana nia njema na Watanzania.

Hilo ni kosa la mabosi wa taasisi husika wala si Serikali ya Samia.

Mimi niliajiriwa 2015 Juni mpaka Juni mwaka jana 2025 tayari nilishapata madaraja yangu 2.

Yaani Magufuli akufanyie ushenzi unataka ufidiwe na Samia.

Samia kafanya vitu vingi vikubwa hayo mambo ya kubaniwa madaraja ni upuuzi wa mabosi wenu uchwara.

Kama mungu wa wajinga aka Magufuli angeendelea kutawala mpaka sasa watumishi wasingeona nyongeza ya mshahara wala madaraja.

Wafanyabiashara wengi wangekuwa washafunga vi fremu vyao. Na Watanzania walivyo wajinga wangempigia makofi.

Samia kaja kaletwa na Mungu, kafanya mambo ambayo Jiwe alikuwa hana ubavu wa kufanya lakini kila siku Watanzania sifa wanampa jiwe
 
Nyie wapumbavu si ndio mnaomwona Magufuli kama Mungu wenu!!!
Samia hana baya ni mpambanaji na ana nia njema na Watanzania.
Hilo ni kosa la mabosi wa taasisi husika wala si Serikali ya Samia.
Mimi niliajiriwa 2015 Juni mpaka Juni mwaka jana 2025 tayari nilishapata madaraja yangu 2.
Yaani Magufuli akufanyie ushenzi unataka ufidiwe na Samia.
Samia kafanya vitu vingi vikubwa hayo mambo ya kubaniwa madaraja ni upuuzi wa mabosi wenu uchwara.
Mbona mitusi na hasira hivyo kulikoni
 
Mbona mitusi na hasira hivyo kulikon
 
Back
Top Bottom