Mlalamikaji daily
JF-Expert Member
- May 19, 2014
- 1,018
- 2,366
Mbona mitusi na hasira hivyo kulikoniNyie wapumbavu si ndio mnaomwona Magufuli kama Mungu wenu!!!
Samia hana baya ni mpambanaji na ana nia njema na Watanzania.
Hilo ni kosa la mabosi wa taasisi husika wala si Serikali ya Samia.
Mimi niliajiriwa 2015 Juni mpaka Juni mwaka jana 2025 tayari nilishapata madaraja yangu 2.
Yaani Magufuli akufanyie ushenzi unataka ufidiwe na Samia.
Samia kafanya vitu vingi vikubwa hayo mambo ya kubaniwa madaraja ni upuuzi wa mabosi wenu uchwara.
Mbona mitusi na hasira hivyo kulikonNyie wapumbavu si ndio mnaomwona Magufuli kama Mungu wenu!!!