Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,278
- 797
Serikali imeweka mazingira mazuri kuiwezesha sekta ya misitu kuzalisha ajira kwani katika kipindi cha mwaka 2020 hadi 2024 Serikali imevijengea uwezo wa uzalishaji na kuongeza thamani viwanda 53 vya kuchakata mazao ya nyuki.
Aidha mashamba ya Silayo hekta 69,756 yameanzishwa yaliyopo Mpepo mkoani Geita ya hekta 20,905 na Buhigwe mkoani Kigoma hekta 85,883.
Fursa hizo zimewezesha kutengeneza ajira 5,750,000 kupitia mnyororo mzima wa thamani wa misitu na ufugaji nyuki.
Pakua Samia App kupitia Play Store au App Store.
#samiaapp
#kaziiendelee
#tumejipatanamama