HOJA Serikali imeweka mikakati gani kuwasaidia Watanzania wanaorudi kutoka Afrika Kusini?

Hoja ya Mdau inayopendekeza maboresho au mabadiliko ndani ya jamii, inayotakiwa kuangakiwa kwa mapana na Mamlaka husika
A

Anonymous

Guest
Je, Watanzania wote waliorejea nchini kutoka Afrika Kusini kwa msaada wa Serikali wana makazi ya kudumu?

Ikiwa si wote wana makazi ya kudumu, Serikali imeweka mikakati gani ya kuwasaidia kupata makazi pamoja na mahitaji muhimu ya maisha, ili waweze kuanza upya na kujitegemea?
 

Kwani kuna mkakati wowote wa kuwasaidia wale ambao wapo nchini na hawana makazi na mahitaji muhimu?

Kama tu waliopo nchini hawajasaidiwa kwa namna yoyote hao waliotoka Africa Kusini wataachwa wapambane na hali zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…