Mtemi mpambalioto
JF-Expert Member
- Aug 23, 2015
- 3,436
- 7,955
Kuna watu wamefiwa, wengine wana kazi maalumu, wengine wanatoa huduma kwa jamii, mambo yamesimama hakuna malipo yoyote maofisini!
Je, ni kweli nchi imefilisika? wiki nzima hakuna malipo yoyote kweli? au ni MWIGULU ndiye anatugombanisha na mama!
kuna watu wapo wizara nyeti kama Ulinzi huko naambiwa nako malipo yamesimama je Usalama wa nchi yetu unaendaje kwa staili hii? je Mama anajua haya kweli au wahuni.hapa kati ndio wanazingua!
Hali ni ngumu wiki nzima watu wana madai yao hakuna kinacholipwa maana sasa ni kulipa kwa mifumo tu! imeblokiwa HAZINA huko!
Nchi hii tunajirudisha nyuma wenyewe tu kwa upumbafu wetu
Mungu atusaidie kwa kweli