Serikali impe angalizo Jerry Silaa, namuona anaiingiza Serikali katika mgogoro mkubwa wa kulipa fidia!

sheria ya ardhi iko wazi. mwenye hati ya kwanza halali ndie mmiliki.

maafisa ardhi wahuni huwa wanatoa hati halali hata kwa watu kumi tofauti.

hapo yule wa kwanza ndie anakuwa mmiliki
Vipi kama zikitoka offer mbili wa kwanza kulipa ndo anakua na haki ????
 
Ardhi inatakiwa itolewe idara ya halmashauri ,na iundwee mamlaka ya kusimamia ardhi kama magufuli alivoivunja idara ya maji iliyokuwa chini ya halmashauri nchini! Samia anatakiwa avunje idara ardhi iliyochini ya halmashauri ,na atengeneze taasisi,wakala, mamlaka inayoshughurikia masuala ya ardhi namaafisa wakewakireport wizarani Moja Kwa Moja ,na sio halmashauri!!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…