much know
JF-Expert Member
- Oct 22, 2017
- 11,461
- 17,183
Tatizo la mabula ni tamaa ya viwaja vya serikali na manispaa.Yaan huyu jamaa hiyo Wizara haimfai kabisa, sijui kwann walimtoa Mabula ila kwangu mimi aliitendea haki sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tatizo la mabula ni tamaa ya viwaja vya serikali na manispaa.Yaan huyu jamaa hiyo Wizara haimfai kabisa, sijui kwann walimtoa Mabula ila kwangu mimi aliitendea haki sana
Uongozi wa awamu hii, mtu akipata kacheo tayari anajiona kamaliza, awe na cheo huko ccm kama mtu flani ndo kbs. Hawàjali katiba wala sheria inasemaje. Kiburi mtindo 1 kwa kwenda mbele. Inaitwa kuupiga mwingi ...tutafika tukiwa Trabant...dah!Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini asiache tafsiri ya mwisho ya haki ifanywe na mahakama kabla ya mtu yoyote kuingizwa kwenye hasara?
Hofu kubwa ni kwamba haya mambo anayafanya Dar es salaam kwa kusaidia watu ambao mi marafiki zake, au marafiki wa familia yake. Ukikutana na family friend wa Silaa, na kimsingi wanamzonga sana pale ofisini watumie fursa kabla hajatenguliwa, ujue lazima atavuruga kila kitu ili kwemye vikao vya ukoo au harusi akasifiwe. Imagine Waziri mzima anatembea mpaka kwako na mmoja wa watu waliolalamika, yule anayelalamikiwa yuko na nani? Na ameshamumini anayekulalamikia, kamkodia mpaka greda, sijui kwa hela za serikali au kamshawishi akodi! utamwambia nini akuelewe?
Ajiepusha kuiweka serikali mbele katika kila tukio, aache sheria ichukue mkondo, akiwa waziri wa ardhi, miaka kumi serikali italipa fidia za trilioni na zaidi.
Nina imani haya mambo ya hovyo anayafanya bila kuhusisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, angewahusisha wangemkatalia maana wao ndio wanajua vita ya mahakamani ikoje, yeye atafanya upuuzi wake, atatenguliwa, na anatuachia hasara kubwa ya kulipa fidia.
Mawaziri wapya watoto watoto wasipewe wizara nzito kama ardhi. Waziri badala ya kushughulikia sera za kitaifa, anazurura mitaani ambako tayari ana maafisa ardhi. Mchi hii ina mitaa mingapi? Kama sera ina shida kutatua migogoro ya ngazi hizo, yeye kama waziri kaliambia nini Bunge limtungie sheria kutengeneza mfumo imara wa watu wa ardhi kuwa na mawasiliano na wateja wao? Atafika lini Chankende kutatua mgogoro?
Wazara yake inatoa hati, baadae inaikataa hati moja,inaikubali nyingine, halafu yuleyule waliyempa hati na kibali cha ujenzi, wao wenyewe wanaenda kumvujia walichomruhusu ajenge!
WEWE PIA NI MIONGONI MWA WAVAMIZI WA VIWANJALeo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini asiache tafsiri ya mwisho ya haki ifanywe na mahakama kabla ya mtu yoyote kuingizwa kwenye hasara?
Hofu kubwa ni kwamba haya mambo anayafanya Dar es salaam kwa kusaidia watu ambao mi marafiki zake, au marafiki wa familia yake. Ukikutana na family friend wa Silaa, na kimsingi wanamzonga sana pale ofisini watumie fursa kabla hajatenguliwa, ujue lazima atavuruga kila kitu ili kwemye vikao vya ukoo au harusi akasifiwe. Imagine Waziri mzima anatembea mpaka kwako na mmoja wa watu waliolalamika, yule anayelalamikiwa yuko na nani? Na ameshamumini anayekulalamikia, kamkodia mpaka greda, sijui kwa hela za serikali au kamshawishi akodi! utamwambia nini akuelewe?
Ajiepusha kuiweka serikali mbele katika kila tukio, aache sheria ichukue mkondo, akiwa waziri wa ardhi, miaka kumi serikali italipa fidia za trilioni na zaidi.
Nina imani haya mambo ya hovyo anayafanya bila kuhusisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, angewahusisha wangemkatalia maana wao ndio wanajua vita ya mahakamani ikoje, yeye atafanya upuuzi wake, atatenguliwa, na anatuachia hasara kubwa ya kulipa fidia.
Mawaziri wapya watoto watoto wasipewe wizara nzito kama ardhi. Waziri badala ya kushughulikia sera za kitaifa, anazurura mitaani ambako tayari ana maafisa ardhi. Mchi hii ina mitaa mingapi? Kama sera ina shida kutatua migogoro ya ngazi hizo, yeye kama waziri kaliambia nini Bunge limtungie sheria kutengeneza mfumo imara wa watu wa ardhi kuwa na mawasiliano na wateja wao? Atafika lini Chankende kutatua mgogoro?
Wazara yake inatoa hati, baadae inaikataa hati moja,inaikubali nyingine, halafu yuleyule waliyempa hati na kibali cha ujenzi, wao wenyewe wanaenda kumvujia walichomruhusu ajenge!
Alipiga diliYaan huyu jamaa hiyo Wizara haimfai kabisa, sijui kwann walimtoa Mabula ila kwangu mimi aliitendea haki sana
Hadi kufikia hatua za kuvunja lazima rufaa zilishakatwa na kufika mwisho.Kama sikosei, hii kesi huyo aliyevunjiwa alishinda kesi na eneo lipo kilonga wima Mbezi Beach.
Jambo la busara ni serikali kukataa rufaa na sio kutumia mabavu.
Ni kuweka tangazo la hiyo hukumu basi na sio Waziri kafanya hivi au vileHadi kufikia hatua za kuvunja lazima rufaa zilishakatwa na kufika mwisho.
Mabaraza ya Kata hawajui kitu , wale ndio wala rushwa wakubwa na chanzo cha migogoro ya Ardhi .Mmmh ndugu yangu hakuna haki mahakamani si ya chin si ya juu ya kulia wala kushoto.... inshu hizi za ardhi mabaraza ya kata yapewe nguvu yanaujua ukweli sana mana physical wanajua location na wanaifikia kabisa mahakama inapelekewa stor tu
nlikua najua wenyewe ndo wanawakua fika wahusika 😅😅Mabaraza ya Kata hawajui kitu , wale ndio wala rushwa wakubwa na chanzo cha migogoro ya Ardhi .
sheria ya ardhi iko wazi. mwenye hati ya kwanza halali ndie mmiliki.
maafisa ardhi wahuni huwa wanatoa hati halali hata kwa watu kumi tofauti.
hapo yule wa kwanza ndie anakuwa mmiliki
Hivi Mfano unejenga nyumba umekuwa nayo Miaka 20 halafu anakuja Mtu anakuambia hiki ni Kiwanja changu tangu Miaka 20 iliopita!
Anataka kubomoa utafanyaje?
Unamuonyesha hati sababu Uliuziwa yeye anakuonyesha Offer au hata Pia Hati nae!
Na Ukute Offer yake ndio imetangulia ila kujenga Umejenga wewe utafanyaje?
Na Kwa Miaka yote 20 Hajawahi Kuja kulalamika!
As long siyo kiwanja chako halali,hata ukikaa nacho miaka mia bila kufuata utaratibu wa kisheria, mwenye kiwanja halali akijitokeza imekula kwako!!Hivi Mfano unejenga nyumba umekuwa nayo Miaka 20 halafu anakuja Mtu anakuambia hiki ni Kiwanja changu tangu Miaka 20 iliopita!
Anataka kubomoa utafanyaje?
Unamuonyesha hati sababu Uliuziwa yeye anakuonyesha Offer au hata Pia Hati nae!
Na Ukute Offer yake ndio imetangulia ila kujenga Umejenga wewe utafanyaje?
Na Kwa Miaka yote 20 Hajawahi Kuja kulalamika!
Huyu ni showoff Minister very soon Madame President atanpiga chiniLeo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini asiache tafsiri ya mwisho ya haki ifanywe na mahakama kabla ya mtu yoyote kuingizwa kwenye hasara?