Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu kuna watu wanalipwa kutetea dhuluma, Na wengine bila kujua wanaingizwa mkenge kutetea mhalifuAcha kuetetea ujinga, huyo jamaa hizo ndo zake. Angalia mfano huu hapa chini.
1.Johnson Leonard Mahururu vs Emmanuel John Nchimbi and 3 Others (Land Case 93 of 2021) [2022] TZHC 12613 (31 August 2022)
2. Kuna hii tena
View attachment 2920921
3.
View attachment 2920931
Kama ulimsikiliza Silaa alisema wazi huyo Mahururu anahusika karibu kwenye kila kesi ya ardhi kwa sababu ndio mtindo wake. Anavamia eneo au ananunua kijanja janja kisha anaenda mahakamani. Nimetumia less than 5 minutes kwenye Google na kupata hizo kesi hapo juu zinazomhusu huyo unayemetea. Sasa je, kuna zingine ngapi hazipo kwenye public domain? Kwanini ahusike kwenye kesi nyingi za ardhi kiasi hicho?
Usiseme hivo boss, haitafit narrative zao, wao wanataka waziri aonekane mwenye kosa,Chukulia wewe una eneo lako Halafu aje mvamizi ajenge au anuuzie mtu mwingine wewe utajisikiaje?
Huyo mmiliki Asię halali ajenge akibomolewa utasema kaonewa?
Hapana tuache unafiki.
Tujenge misingi ya jamii bora yenye kuheshimu haki na sheria .
Mtu anapojenga anakua tayari ana building permit ili BT lazima uwe na hati, Sasa mpaka watu wa Halmashauri wanatoa kibali Cha ujenzi ni kosa la naniChukulia wewe una eneo lako Halafu aje mvamizi ajenge au anuuzie mtu mwingine wewe utajisikiaje?
Huyo mmiliki Asię halali ajenge akibomolewa utasema kaonewa?
Hapana tuache unafiki.
Tujenge misingi ya jamii bora yenye kuheshimu haki na sheria .
Kwa maeneo yaliyopimwa haizidi laki 3 kaka, hati tayariKwani ili kupata hati ni gharama gani huwa zinahitajika?
Inawezekana hawa maafisa ardhi huingiwa na tamaa yahiyo pesa ya mteja katika mchakato wa hiyo hati kwa hiyo humpa hati ili wapate tu pesa bila kujali matokeo ya ongezeko la migogoro ya ardhi
Kinachotakiwa kufanyika ni kuwachukulia hatua wanaotoa hati ya pili na kuendelea kwenye eneo moja
Mabula alikuwa ni mbwa asiye na meno.Yaan huyu jamaa hiyo Wizara haimfai kabisa, sijui kwann walimtoa Mabula ila kwangu mimi aliitendea haki sana
Baada ya kusikia vzuri story... Na mimi nimeona amefanya sawa mwenye kiwanja ilipaswa ndo azungumze na yule mama kabla ya kupata kilichompataAnajitahidi kutenda kwa haki.
Vibaya kumuonea mtu lakini tabia ya kuvamia maeneo ya watu na janja janja kisha kujenga Halafu utake huruma wakati umedhurumu haki ya mtu mwingine haikubaliki.
Vizuri umeweka huu ushahidi, sasa Waziri ana weza waomba Takukuru, wakafanya kazi yao, wakamfungulia kesi ya uvamizi wa eneo na ya rushwa piaAcha kuetetea ujinga, huyo jamaa hizo ndo zake. Angalia mfano huu hapa chini.
1.Johnson Leonard Mahururu vs Emmanuel John Nchimbi and 3 Others (Land Case 93 of 2021) [2022] TZHC 12613 (31 August 2022)
2. Kuna hii tena
View attachment 2920921
3.
View attachment 2920931
Kama ulimsikiliza Silaa alisema wazi huyo Mahururu anahusika karibu kwenye kila kesi ya ardhi kwa sababu ndio mtindo wake. Anavamia eneo au ananunua kijanja janja kisha anaenda mahakamani. Nimetumia less than 5 minutes kwenye Google na kupata hizo kesi hapo juu zinazomhusu huyo unayemetea. Sasa je, kuna zingine ngapi hazipo kwenye public domain? Kwanini ahusike kwenye kesi nyingi za ardhi kiasi hicho?
Watu mna dharau nyie!😅😅😅😅😆😆!Hiyo wizara wamrudishe LUKUVI japo ana DIVISHENI FOO ya fom foo.
Kalukuvi kana makeke na kanajiamini pamoja na uziro brain wake. Kanajua jua sheria pia.
Uwepo wa watu kama Mahululu ni matokeo ya mfumo mbovu wa idara ya ardhi na maofisa wake na kukosekana kwa uwajibikajiKaka tunawatu wajinga sana kwa kutetea upuuuz
Ndugu yangu, hizo mahakama zenu za kina, kibatara, na madereke na mahakimu na majaji wao zimekuwa za kitapeli, uongo, rushwa. Haki za, watu zimepotea, sana. Nampongeza sana wazir Slaa kusimamia haki. Nina kiwanja changu toka mwaka 1970. Nina hati zangu. Mnaenda kwa maafisa wa, ardhi, mnawaonga. Mnabadilisha hati. Mnawadhulumu watu, kwa kupitia hizo mahakama zenu feki. Na ww unakuja hapa kuongea, uongo. Nafikiri ili tuishi kwa amani, hiz sheria, mahakimu na majaji wapitiwe upya, ili haki ipatikane. IPO siku haki itapatikana kwa njia ya, siraha.Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini asiache tafsiri ya mwisho ya haki ifanywe na mahakama kabla ya mtu yoyote kuingizwa kwenye hasara?
Hofu kubwa ni kwamba haya mambo anayafanya Dar es salaam kwa kusaidia watu ambao mi marafiki zake, au marafiki wa familia yake. Ukikutana na family friend wa Silaa, na kimsingi wanamzonga sana pale ofisini watumie fursa kabla hajatenguliwa, ujue lazima atavuruga kila kitu ili kwemye vikao vya ukoo au harusi akasifiwe. Imagine Waziri mzima anatembea mpaka kwako na mmoja wa watu waliolalamika, yule anayelalamikiwa yuko na nani? Na ameshamumini anayekulalamikia, kamkodia mpaka greda, sijui kwa hela za serikali au kamshawishi akodi! utamwambia nini akuelewe?
Ajiepusha kuiweka serikali mbele katika kila tukio, aache sheria ichukue mkondo, akiwa waziri wa ardhi, miaka kumi serikali italipa fidia za trilioni na zaidi.
Nina imani haya mambo ya hovyo anayafanya bila kuhusisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, angewahusisha wangemkatalia maana wao ndio wanajua vita ya mahakamani ikoje, yeye atafanya upuuzi wake, atatenguliwa, na anatuachia hasara kubwa ya kulipa fidia.
Mawaziri wapya watoto watoto wasipewe wizara nzito kama ardhi. Waziri badala ya kushughulikia sera za kitaifa, anazurura mitaani ambako tayari ana maafisa ardhi. Mchi hii ina mitaa mingapi? Kama sera ina shida kutatua migogoro ya ngazi hizo, yeye kama waziri kaliambia nini Bunge limtungie sheria kutengeneza mfumo imara wa watu wa ardhi kuwa na mawasiliano na wateja wao? Atafika lini Chankende kutatua mgogoro?
Wazara yake inatoa hati, baadae inaikataa hati moja,inaikubali nyingine, halafu yuleyule waliyempa hati na kibali cha ujenzi, wao wenyewe wanaenda kumvujia walichomruhusu ajenge!
Yeah....Saa zingine wanaiingiza serikali mkenge ili wao wakaneemekee kwenye hiyo hasara ya serikali, kwa maneno mengine hiyo inaweza kuwa syndicate
Hapana kama alivamia kiwanja ni sahihi kubomolewa kabisa. Na nikuambie tu uvamizi wa kiwanja usikie tu na usikupate Ndugu yanguLeo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini asiache tafsiri ya mwisho ya haki ifanywe na mahakama kabla ya mtu yoyote kuingizwa kwenye hasara?
Hofu kubwa ni kwamba haya mambo anayafanya Dar es salaam kwa kusaidia watu ambao mi marafiki zake, au marafiki wa familia yake. Ukikutana na family friend wa Silaa, na kimsingi wanamzonga sana pale ofisini watumie fursa kabla hajatenguliwa, ujue lazima atavuruga kila kitu ili kwemye vikao vya ukoo au harusi akasifiwe. Imagine Waziri mzima anatembea mpaka kwako na mmoja wa watu waliolalamika, yule anayelalamikiwa yuko na nani? Na ameshamumini anayekulalamikia, kamkodia mpaka greda, sijui kwa hela za serikali au kamshawishi akodi! utamwambia nini akuelewe?
Ajiepusha kuiweka serikali mbele katika kila tukio, aache sheria ichukue mkondo, akiwa waziri wa ardhi, miaka kumi serikali italipa fidia za trilioni na zaidi.
Nina imani haya mambo ya hovyo anayafanya bila kuhusisha ofisi ya mwanasheria mkuu wa serikali, angewahusisha wangemkatalia maana wao ndio wanajua vita ya mahakamani ikoje, yeye atafanya upuuzi wake, atatenguliwa, na anatuachia hasara kubwa ya kulipa fidia.
Mawaziri wapya watoto watoto wasipewe wizara nzito kama ardhi. Waziri badala ya kushughulikia sera za kitaifa, anazurura mitaani ambako tayari ana maafisa ardhi. Mchi hii ina mitaa mingapi? Kama sera ina shida kutatua migogoro ya ngazi hizo, yeye kama waziri kaliambia nini Bunge limtungie sheria kutengeneza mfumo imara wa watu wa ardhi kuwa na mawasiliano na wateja wao? Atafika lini Chankende kutatua mgogoro?
Wazara yake inatoa hati, baadae inaikataa hati moja,inaikubali nyingine, halafu yuleyule waliyempa hati na kibali cha ujenzi, wao wenyewe wanaenda kumvujia walichomruhusu ajenge!
Mkuu najua wewe ni mtu wa details. Hebu tupe snapshot ya kilichotokea. Kwangu mimi waziri kama kiongozi mkubwa wa serikaki ni muhimu kufuata sheria. Inawezekana mahakama zetu zina mapungufu mengi. Lakini ndo chombo tulichonacho.Ni waziri wa ardhi.
Alichofanya ni sahihi.
Halafu hizi taratibu za kuvunja, si ustaarabu na ni kinyume cha ubinadamu. Pakiwa na mgogoro, thamani ya uwekezaji/uendelezaji haionekani bali pande la ardhi tu! Na kitendo cha Waziri kusimamia zoezi, kimeshusha kiwango chake cha uwajibikaji..!!!Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti? Kwa nini asiache tafsiri ya mwisho ya haki ifanywe na mahakama kabla ya mtu yoyote kuingizwa kwenye hasara?