Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
1. Mimi na wewe kwa kuangalia kipande cha video hatuwezi kuupata ukweli.Nimeona nimeshangaa sana halafu watu wapo ndani yeye anabomoa nje ingekua amri ya Mahakama watu na vitu vitolewe ndio zoezi liendelee nimeona yule mama mwenye nyumba anatia huruma sana,
Hivi viwanja ni vina migogoro kwa sababu ya madalali kufanya yao na hasara unakuja kupata wewe huhusiki na una hati toka serkalini ovyo kabisa!
Kwa kweli inasikitisha sanaKwa kweli hii ni contradiction ya hali ya juu sana. Halafu Jerry Slaa amesikika akiilaani maafisa wa wizara yake na mahakama kwa kutoa haki kwa mwenye pesa (aliyejenga ghorofa).
Inaelekea aliyejenga ghorofa alishinda kesi zote za mgogoro wa kiwanja hicho na ana hati za umiliki wa kiwanja.
Kama mahakama ilishatoa uamuzi, huyo mama hatakamyaga hilo eneo, subiri mawakili waingie kaziniHili ni funzo,
Tuache kununua maeneo na kujenga mahala kwa uvamizi.
Uko Fanya hivyo ujue itakuja kula kwako ni swala la muda tu utakula hasara.
Kisicho riziki huwa hakiliki.
Tuache kulaumu mkwezi maana nazi imeliwa na mwezi.
Siłaa Ana Hoga ya ni ku enforce sheria na kufanya maamuzi mwenye haki apate haki yake.
Na sio hao Mawaziri wengine wanafiki wasokuwa na maamuzi.
Anajitahidi kutenda kwa haki.
Vibaya kumuonea mtu lakini tabia ya kuvamia maeneo ya watu na janja janja kisha kujenga Halafu utake huruma wakati umedhurumu haki ya mtu mwingine haikubaliki.
Chukulia wewe una eneo lako Halafu aje mvamizi ajenge au anuuzie mtu mwingine wewe utajisikiaje?
Huyo mmiliki Asię halali ajenge akibomolewa utasema kaonewa?
Hapana tuache unafiki.
Tujenge misingi ya jamii bora yenye kuheshimu haki na sheria .
Watu wa ndani ya mifumo ya migogoro ya Aridhi ndiyo tatizo, maana baada ya kuumaliza mgogoro mapema,wao ndiyo kwanza wanaumwagia moto, picha linaanza na mwenye pesa kupewa haki isiyo yake! Na siku zote mwenye haki hawezi kukubali kirahisi!!Kaka majitu majinga sanaa kwa iyo wanahis uyo mama ni mjinga Akadai eneo af kesi ya ardhi ni very simple kabisa sehem ya mtu ni ya mtu kesi zake ni rahis kabisa kuishia mtaani Mana kuna majiran na wenyeji wa eneo husika wanajua kabisa flan ndo native pale sijui migogoro ya kipuuuz uwa inatoka wapi aisee
Una uhakika hapakuwahi kuwepo proper notice? Au ni mgeni hapo Daslam Chifu? Ushaambiwa mgogoro umedumu kwa zaidi ya miaka 20, yaani bado unaamini miaka 20 yote hiyo issue haikuwahi kufika mahakamani? Au unajifanya hujui zile janja janja zao za kutumia court injuction? Ni mara ngapi mahakama zimekuwa zikitoa notisi za nyumba kubomolewa halafu wamiliki wanaenda mahakamani kuweka injuction sio kwa sababu wanaona wameonewa bali wanafahamu hadi kesi izungumzwe tena itachukua miaka. Na wakipata watu wao huko, hiyo kesi itaunguruma kwa miaka na miaka kama sio miongoHakuna proper notices, anavamia watu hovyohovyo na kuvunja majengo yao.
Alivamia kituo cha mafuta, naona kaona mfupa mgumu, mpaka leo yuko kimya
Kama limefika mahakamani, Mahakama imeamuaje? au huyo bwege unamuona yuko juu ya sheria?Una uhakika hapakuwahi kuwepo proper notice? Au ni mgeni hapo Daslam Chifu? Ushaambiwa mgogoro umedumu kwa zaidi ya miaka 20, yaani bado unaamini miaka 20 yote hiyo issue haikuwahi kufika mahakamani? Au unajifanya hujui zile janja janja zao za kutumia court injuction? Ni mara ngapi mahakama zimekuwa zikitoa notisi za nyumba kubomolewa halafu wamiliki wanaenda mahakamani kuweka injuction sio kwa sababu wanaona wameonewa bali wanafahamu hadi kesi izungumzwe tena itachukua miaka. Na wakipata watu wao huko, hiyo kesi itaunguruma kwa miaka na miaka kama sio miongo
Kumbe ni divisheni Foo Kama Bumunda.Hiyo wizara wamrudishe LUKUVI japo ana DIVISHENI FOO ya fom foo.
Kalukuvi kana makeke na kanajiamini pamoja na uziro brain wake. Kanajua jua sheria pia.
Sasa hapa si kuwashitaki serikali au maafisa ardhi waliokupa hati juu ya hati nyinginesheria ya ardhi iko wazi. mwenye hati ya kwanza halali ndie mmiliki.
maafisa ardhi wahuni huwa wanatoa hati halali hata kwa watu kumi tofauti.
hapo yule wa kwanza ndie anakuwa mmiliki
Acha kuetetea ujinga, huyo jamaa hizo ndo zake. Angalia mfano huu hapa chini.Kama limefika mahakamani, Mahakama imeamuaje? au huyo bwege unamuona yuko juu ya sheria?
2. Kuna hii tenaHowever, in a subsequent contract/sale, the same plaintiff Johnson Leonard Mahururu on 24th May 1999 appears to have purchased the second plot allegedly belonging to the same Mr. Salum Sefu Sani (PE1). Notably, this subsequent sale does not establish whether the said vendor had certificate of offer it being registered/surveyed land. Nevertheless,
Acha kuetetea ujinga, huyo jamaa hizo ndo zake. Angalia mfano huu hapa chini.
1.
Johnson Leonard Mahururu vs Emmanuel John Nchimbi and 3 Others (Land Case 93 of 2021) [2022] TZHC 12613 (31 August 2022)
Kuna hii tena
View attachment 2920921
View attachment 2920931
Kama ulimsikiliza Silaa alisema wazi huyo Mahururu anahusika karibu kwenye kila kesi ya ardhi kwa sababu ndio mtindo wake. Anavamia eneo au ananunua kijanja janja kisha anaenda mahakamani. Nimetumia less than 5 minutes kwenye Google na kupata hizo kesi hapo juu zinazomhusu huyo unayemetea. Sasa je, kuna zingine ngapi hazipo kwenye public domain? Kwanini ahusike kwenye kesi nyingi za ardhi kiasi hicho?