Nkundwe Sr
JF-Expert Member
- Nov 30, 2014
- 6,289
- 9,748
Huyu kijana Jerry Slaa na Bashe wanavibuli sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mabula alifanya nini cha maana? Mtu Lukuvi bhanaYaan huyu jamaa hiyo Wizara haimfai kabisa, sijui kwann walimtoa Mabula ila kwangu mimi aliitendea haki sana
Kabisa mimi mimechukizwa mno na alichofanya hana busara kabisa mtu huyu.Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti?
o kama ardhi. Waziri badala ya kushughulikia sera za kitaifa, anazurura mitaani ambako tayari ana maafisa ardhi
Hamna nanma, arudishwe LukuviYaani takataka kabisa huyu Silaa, kuna siku atafanya tukio la hovyo nchi ikabaki na taharuki
hivi kwani hujui jerry silaa pia ni mwanasheria?Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza pande zote na kutoa haki ya rufaa ya ngazi tofauti?
dhi
sheria ya ardhi iko wazi. mwenye hati ya kwanza halali ndie mmiliki.
maafisa ardhi wahuni huwa wanatoa hati halali hata kwa watu kumi tofauti.
hapo yule wa kwanza ndie anakuwa mmiliki
Maelezo yako hayajitoshelezi,
Hajui huyohivi kwani hujui jerry silaa pia ni mwanasheria?
Sure, badala ya kusimamia miradi ya hati za kidigitali alizoanzisha lukuvi mkoa wa dar es salaam, maajabu kwamba mpaka leo anagawa hati za mafaili. Hati za digital/mtandao ni ngumu kughushi, husikii anaongelea huu mradi.Nilishawahi muona mtu mmoja Moshi alikuwa anatengeneza hati za maeneo ya ndugu zake kwa majina yake ingawa si mmiliki, bila wao kujua. Sasa hii habari ya sheria, sio rahisi kama udhaniavyo.
Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza
Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza
Bashe ana akili, ila huyu ulishamuona kafanya cha akili?
Kwa kweli hii ni contradiction ya hali ya juu sana. Halafu Jerry Slaa amesikika akiilaani maafisa wa wizara yake na mahakama kwa kutoa haki kwa mwenye pesa (aliyejenga ghorofa).Wazara yake inatoa hati, baadae inaikataa hati moja,inaikubali nyingine, halafu yuleyule waliyempa hati na kibali cha ujenzi, wao wenyewe wanaenda kumvujia walichomruhusu ajenge!
Kwani Mahakama ilikuwa imetoa INJUCTION ORDER kuzuia ubomoaji?Hati ipi ilianza kutolewa ?Leo katika taarifa ya habari ya ITV nimemuona Jerry Silaa akisimamia kubomoa ghorofa, na bila shaka kwa kujifanya yeye ni hakimu au Jaji mwenye uamuzi wa mwisho, kwa nini asishauri watu wafuate mlolongo wa mahakama ambao unasikiliza