Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

Serikali impige marufuku kukanyaga Tanzania Micky Jnr kwa kuipakaza Taifa Stars

Yeye katimiza wajibu wake Kama mwandishi wa habari mmezoea waandishi wenu wanaoandika habari kwa maelekezo
 
Micky amekuwa akihujumu mpira wa Tanzania kwa mgongo wa kuiponda Yanga. Ila makolo wanamshangalia sana. Sasa anaichafua Tanzania kwa sababu anao watu wanamuunga mkono. Kuna kipndi alidai kwamba anataka kuuliwa akija Tanzania sikumbuki sijui ilikuwa ni mechi ya fainali ya shirikisho Yanga vs Alger
Micky jr tunamuunga mkono tupo naye na tunatamba naye na siku akitaka kuja tanzania tutampa ulinzi.
 
Huyo jamaa alituandama Yanga
Eng Hersi hakumjibu
Tanzania mzuie asikanyage katika ardhi yetu
Namuunga mkono micky jr na akija tanzania ntampa bure wa mabaunsa wangu kutoka kihando security wamlinde na ningemuomba aendelee kuwapiga nyundo yanga mpaka waseme.
 
20241121_221129.jpg
 
Akili kisoda hizi. Sasa kosa lake liko wapi we kiazi
 
Match sheet hiyo hapo. Micky Jr amekosea wapi kureport kilichotokea. Hapa kweli Ame ameandikwa anavaa jezi namba 24 ila mchezoni kavaa jezi namba 26. Guinea wamefile kesi CAF yeye karipoti Utopolo wanammind. 😂 Ukiwa Uto akili zinaruka.
 
Tulieni dawa iwaingie ili next time mtumie kichwa na sio makaliwo kwenye kufanya maamuzi
 
Wote wanaomchukia Micky Jnr ni utopolo ,na jamaa yenu Priva kutwa kumnanga Micky hovyo kabisaa hivi unawezaje kumwandikia mwanaume makala kila siku ,hovyo kabisaa
 
Hizi chuki na haya mapambano yangeamishiwa kwenye vitu vya msingi, basi huenda Nchi ingesonga mbele.

Shida ya Micky iko wapi?

Amepewa taarifa, kaifikisha.

Mjumbe hauwawi.
 
We lofa kweli Micky ameleta taarifa ya malalamiko ya Guinea ...tena wa Kikanuni.Sasa unabwabwaja nini! Umeona utetezi dhidi wa TFF ? Hat mtoto' wangu wa Std 3 asingeandika utetezi wa kindezi kama vile!
Aya nenda kwa micky anakusubiri
 
Back
Top Bottom