Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Kwa mujibu wa Askofu Pengo huyu Gavana wa Dar es salaam ndiye Rais ajaye.
 
Mange alikuwaga anasema kuwa eti huyo ako ni bibi yake ya kando

huko bongo mnasemaga mchepuko!!

lakini Mange yuko asema vitu ya urongo mumkwepe..

yule xpresident mpole wa Msoga ako na usemi ya kuwa "akili za kuambiwa changanya na zako..''


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyu ndugu akitumbuliwa atakuwa na maisha magumu sana kiusalama. Amezoea kuzungukwa na Mambosasa + IGP hivyo anajinasibu yupo salama na anakula raha za duniani.
Wakimtumbua wanaweza wakamkashogi ili asiropoke kuvujisha siri kumbuka mikoba yote kashika.Ushirika Wa wachawi umefika mwisho
 
S
Siri ipi sasa ukishatumia technology ya mawasiliano hakuna siri yeyeto ngoja pompei aje atoe tap record voice za maagizo.Siku zaja tutajua tu walipo kina Ben na azory huwezi ikimbia technology third eyes watched.Unayajua ya BBC eyes.
Nkurunziza kaona hatari mbele isiwe tabu anawaachia Burundi yao
 
Rubbish

Sent from my SM-J700H using Tapatalk
 
Gwajima alionya Sana amteme atamuharibia gunia la misumari alibebeki lakini zimewekwa pamba sikioni too late
 
"Fyatueni watoto elimu ni bure"
 

Kama mifumo ya ndani inaminya uhuru na haki tegemea watu kutoka nje. Unachezea mifumo yote watu wanakosa nayo imani kisha unashangaa watu wakitafuta plan B! Wapinzani nendeni nje mkashitaki, humu ndani mifumo imegeuka kumtukuza Magufuli hakuna haki yoyote mtapata.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…