Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Wanaoshabikia upuuzi huo, wapuuzi pia sawa na mwanamke anayesimama kwa mashoga zake kumsema mumewe kwamba anakojoa kitandani bila kujua ni aibu yake mwenyewe. Na madhara ya kuachwa atayapata wewe.
 
Mi sioni kwanini aondolewe...hata wakitususa tuna utajiri wa kutosha ndiyo maana wao wanajipendekeza kwetu hata kama tuna madeni kibao hatujalipa bado wanatukopesha...Mwache Makonda afaidi zama zake hizi mpaka mwisho
 

Akili ya huyu mzee ilianza kunichosha alipoanza kusema kuna watu wameficha pesa ndani ndo maana mzunguko amna mara naingia kwenye madaraka sukali 5000 sasa hivi 2500 mtu wa namna hiyo unaweza kumwelewaje mara matajiri wataishi kama mashetani mara nataka nitengeneze mabilione


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Serikali yetu inaogopa kuabika wazungu sio mazeruzeru jamaa wanatujua kuliko tunavyojijua sisi.
Sent using Jamii Forums mobile app
 

Kuna mtu anaandaliwa taiming mda mwalimu mzuri


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeye mwenyewe hajui anaenda au anarudi!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hata vya hapo vinafahamu lakini vinamuogopa sana Daud Bashite visingeweza kusema ukweli
 

Vipi kuhusu mauaji wanayomtuhumu nayo je vipi kuhusu kuna watu kenya wamezuiliwa kwenda nao USA [emoji631] je na hao wakenya wamegusa maslai ya USA [emoji631]


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Platforms zote zao kwa nn? Wasijue satellites zao, simu zao, Android, window, Symbian, iPhone, IOS, ATM card, Facebook Google, Instagram, YouTube, Wikipedia, Twitter
Kwa nn wasijue

Sent using Jamii Forums mobile app
 
sio kuomuondoa tu, aseme mwenyewe mahala alipoficha mwili wa Ben Saanane na wa Azory ili familia zao ziwazike kwa utaratibu unaofaa.
Hivi inawezekana!!!!! Hivi ni kweli???? Napata shida hivi uenda kuna jambo anajua!!!! Msitunge mambo mkampa mwezenu matatizo.
 
Satellites za USA na Galileo za ulaya zinaona kilometers 3 kwenda china ya aridhi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hutupangiwi na mabeberu!.
P
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…