Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Eti kwani Shangazi wa taifa kasemaje?
🚶‍♂️
 
Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app

Hakuna nchi ambayo CIA hawaoperate, hiyo ni Taasisi kubwa sana duniani. watakuwa wanajua hadi makonda ana ajenda gani in the near future, na kwakuwa makonda ni mmoja wa wasemaji wakuu wa hii nchi jamaa watakuwa na siri zetu zote, sasa hiyo ndio noma zaidi..


Sent from my iPhone using JamiiForums
 
Aondolewe ili mfanye vizuri ushoga wenu na uuzaji wa madawa ya kulevya yenu pale ufipa?

Mlaaniwe kabisa Pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
 
The whole system is hunted.We are in trouble

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ushauri wako umejaa uungwana na busara sana na kama kiongozi wa nchi anasoma hii thread atauconsider na shauri zenye kejeli,matusi na dharau
 
Wakimwondoa tuu na kifo chake kitafuatia bora mh rais amwache amalizie hungwe yake iliobaki
 

Hahahaaaa, vyombo vyetu vinavyoongozwa na watu kama Mambosasa unategemea nini?
 
The only place
CIA Hawa operate ni kwenye American soil
 
Labda ubunge lkn sio Uwaziri. Ni ngumu sana kwa Serikali za Kiafrika kuwa na Waziri asiyetakiwa na Marekani. Kijana kajiharibia future yake kwa kiwango kikubwa sana... Bahati mbaya zuio hili linaweza kwenda kwa familia pia..
Naziona ndoto za Makonda za kuwa mbunge na kisha kua waziri zikiyoyoma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…