Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mimi mwenyewe sijipangii najikuta tu nimeagiza mtu atekwesipangiwi mimi,tena nikishauria ndio kabisa sisikilizi ushauri wa mtu yeyote
Nyie watu wa uswazi mnajikuta waongeaji sanaToo late. Subiri Magufuli na Mambosasa washughulikiwe kwanza.
Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda.
Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa hawataki akanyage Marekani.
Makonda asipoondolewa, tujiandae kususiwa na Dunia nzima, maana Marekani ndio taifa lenye nguvu za kila aina Duniani.
Hata mataifa yanayojitegemea Kiuchumi yana ufyata kwa Marekani, sembuse sisi tunaojitegemea kwa asilimia 56%? Huku 44% tukitegemea kusaidiwa na Mabeberu?
Kama unajua trend reading, Ubalozi Marekani walikuwa wanatoa taarifa inayofanana na balozi nyingine kama ubalozi wa Ulaya, Uingereza nk.
Usishangae ndani ya siku chache ukawasikia washirika wa Marekani nao wakimpiga marufuku Makonda kukanyaga huko.
Kama serikali ikizembea kumfukuza Kazi Makonda ili kujisafisha, usishangae likatoka tamko la kuzuia misaada kwa Tanzania, halafu tuwekewe na vikwazo ikiwa ni pamoja na kuzuia watalii wasije Tanzania kwakuwa ni nchi hatari kiusalama.
Wazungu wanaweza kutukumia vyovyote, hambo la msingi na haraka ni kumuondoa Makonda ofisini na kuteua mtu mwingine atakaefanya tofauti.
Chonde Chonde washauri wa Rais Magufuli, tunawapenda sana na tunaipenda serikali yetu, Makonda Mmoja asiingize nchi kwenye mgogoro wa Kidiplomasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
The whole system is hunted.We are in troubleNdugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda.
Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa hawataki akanyage Marekani.
Makonda asipoondolewa, tujiandae kususiwa na Dunia nzima, maana Marekani ndio taifa lenye nguvu za kila aina Duniani.
Hata mataifa yanayojitegemea Kiuchumi yana ufyata kwa Marekani, sembuse sisi tunaojitegemea kwa asilimia 56%? Huku 44% tukitegemea kusaidiwa na Mabeberu?
Kama unajua trend reading, Ubalozi Marekani walikuwa wanatoa taarifa inayofanana na balozi nyingine kama ubalozi wa Ulaya, Uingereza nk.
Usishangae ndani ya siku chache ukawasikia washirika wa Marekani nao wakimpiga marufuku Makonda kukanyaga huko.
Kama serikali ikizembea kumfukuza Kazi Makonda ili kujisafisha, usishangae likatoka tamko la kuzuia misaada kwa Tanzania, halafu tuwekewe na vikwazo ikiwa ni pamoja na kuzuia watalii wasije Tanzania kwakuwa ni nchi hatari kiusalama.
Wazungu wanaweza kutukumia vyovyote, hambo la msingi na haraka ni kumuondoa Makonda ofisini na kuteua mtu mwingine atakaefanya tofauti.
Chonde Chonde washauri wa Rais Magufuli, tunawapenda sana na tunaipenda serikali yetu, Makonda Mmoja asiingize nchi kwenye mgogoro wa Kidiplomasia.
Sent using Jamii Forums mobile app
CIA wanaoperate kila Nchi.Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.
Sent using Jamii Forums mobile app
Sikitiko langu kubwa ni tuhuma aliooredheshewa ya kudhulumu uhai wa watu kadhaa (kukatisha uhai wa watu kabla ya wakati wao). Hili ni jambo ambalo serikali inapaswa ilitolee maelezo ni kwa namna gani vyombo vya usalama vya nje vifahamu pasipo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufahamu.
Sent using Jamii Forums mobile app
CIA Hawa operate ni kwenye American soilHakuna nchi ambayo CIA hawaoperate, hiyo ni Taasisi kubwa sana duniani. watakuwa wanajua hadi makonda ana ajenda gani in the near future, na kwakuwa makonda ni mmoja wa wasemaji wakuu wa hii nchi jamaa watakuwa na siri zetu zote, sasa hiyo ndio noma zaidi..
Sent from my iPhone using JamiiForums
Naziona ndoto za Makonda za kuwa mbunge na kisha kua waziri zikiyoyoma.
Sent using Jamii Forums mobile app