Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Sasa hapo ni patamu, ili polisi nao waingizwe kwenye kesi ya Makonda ICC pamoja na anae mtuma ata julikana..

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hivi Marekani inalinda haki za binadamu kweli? Mbona kila kukicha unasikia katika vyombo vya habari mtu kafyatulia risasi wanafunzi, watu wailo katika club au supermarket! Mara Police wamemuua raia! Huo ndo utaratibu wa kulinda haki za binadamu kwa Wamerekani?
 
So mantiki yako ni kuungana na Makonda, hivi angemuua ndugu yako ungethubutu kuuliza maswali hayo?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Familia imehusika ndugu, si umeona wamemtaja kabisa mke wake kwa majina.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Aondoke aende wapi futa kabisa hilo wazo kwenye akili yako bado yupo na ataendelea kuwepo kwa mujibu wa sheria

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama kweli mtumishi wa Mungu Paulo anaua hiyo dhambi abebe ila tuwe tu Makini beneru lisituumize kwa kukaza Uzi wa raslimali zetu
 
naona makonda akitolewa kama mbuzi wa kafari ili awakingie kifua wakubwa hapo juu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…