CIA wapo Ikulu, wapo TCRA, wapo TISS, wapo Police, wapo makanisani na misikitini, wapo TBC, wapo mahakamani, wapo kwa wasanii, mpaka gerezani. Na ndani ya vyombo hivyo, tena wanaisifia serikali na watawala kuwazidi hata watu wengine.C
CIA wapo kila mahali na unawajua wamarekani wana maagent wao kila sehemu.
Hata mtambo wa TCRA wanaoutumia kudukua mawasiliano ya watu, umetoka kwao.Wana access na data base za whatsapp. Wana access ya record zote za simu yake. Anachoongea, meseji anazotuma na watu anaowasiliana nao. Achana na Mmarekani ndugu yangu!
Upende usipende ataondoka au kuondolewa. Ni suala la wakati tu. Bahati yake ni endapo ataondolewa na kuendelea kuwa huru lakini inaweza isiwe hivyo.Aondolewe ili mfanye vizuri ushoga wenu na uuzaji wa madawa ya kulevya yenu pale ufipa?
Mlaaniwe kabisa Pumbavu sana
Sent using Jamii Forums mobile app
Marekani, watu wanauawa na maharamia, na maharamia wanakamatwa na kushtakiwa. Kwetu watu wanauawa na watu waliotakiwa kuwalinda. Kwa hiyo wauaji hawakamatwi wala kushtakiwa maana waliotakiwa kuwashtaki ndio wauaji wenyewe. Hiyo ndiyo tofauti kubwa.Hivi Marekani inalinda haki za binadamu kweli? Mbona kila kukicha unasikia katika vyombo vya habari mtu kafyatulia risasi wanafunzi, watu wailo katika club au supermarket! Mara Police wamemuua raia! Huo ndo utaratibu wa kulinda haki za binadamu kwa Wamerekani?
Atazuiliwa kuongea....
Una chuki binafsi na Makonda tu, tangu lini wamerekani wakatupangia wakuu wa mikoa?Baada ya tangazo la Serikali ya Marekani kumzuia Makonda na familia yake kupata visa ya Marekani Kuna uwezekana mkubwa huo ndiyo ukawa mwisho wa Makonda kisiasa.
Tangazo hilo halijatoa Picha nzuri kwa uongozi wa awamu ya tano na ili kurudisha heshima na mahusiano hayo tena ni Makonda kuondolewa katika nafasi ya Mkuu wa mkoa haraka Sana.
Wamerakani watakawa wametuma makachero wao ndani ya nchi Kama majasusi bila tz kujua na uwezekano wamekuja Kama watalii na kukusanya habari nyingi Sana za ndani ya mifumo ya Serikali.
Ni wakati umefika RC aondoke haraka katika nafasi hiyo.
Ni aibu kubwa sana kwa nchi kwa tangazo hilo.
Tatizo la makonda ni kuwafurusha mashoga kama wewe baasKama huoni tatizo la Makonda na boss wake ni kwa sababu wewe ni kipofu.
Kwani Mimi nimemuuliza nani?Ungewauliza BBC, DW na VOA kwa nini wanatangaza bila kumuuliza Makonda? Ndio shida yenu hiyo kusikiliza TBC1 pekee