Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Serikali imuondoe Paul Makonda haraka kabla mambo hayajaharibika. Tamko lijalo linaweza kuathiri nchi pakubwa

Ubaya zaidi wanasema wana ushahidi. Hawa wamarekani huu uchunguzi walioufanya lini? Inawezekana CIA ina operate Bongo kimya kimya, inakusanya data na kuzirusha kwao.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawana haja ya kuja huku. Hiyo kazi wanampa dogo wa fildi anachokonoa kwenye kilaptop chake ndani ya dakika 3 taarifa zote wanazo.
Unaweza kuta wanazo picha za satellite na video za satellite za matukio yote yasiyoeleweka. Mpaka coordinates zao ili wakitaka wanaweza kufanya alichofanyiwa jenerali wa iran.

Mawazo:Serikali ikitaka isifatiliwe kwa njia ya sattelite. Wahakikishe wanaezeka barabara zote Tanzania kwa mabati manene kwa juu ili magari yapite chini ya paa la mabati.
 
Sikitiko langu kubwa ni tuhuma aliooredheshewa ya kudhulumu uhai wa watu kadhaa (kukatisha uhai wa watu kabla ya wakati wao). Hili ni jambo ambalo serikali inapaswa ilitolee maelezo ni kwa namna gani vyombo vya usalama vya nje vifahamu pasipo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hawa Jamaa hawapigi ramli wana uhakika na wakisemacho. Au wakuwekee ushahidi hadharani kisha wachukue hatua wanazoona zinafaa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ningelikuwa na kauwezo ile mi INVECO ningeitumbukiza baharini kwa sababu hawa jamaa wanaweza weka bolt na nut kumbe ni makamera yao ya kuwapelekea siri za jeshi letu. Siyaamini sana haya mabeberu. Hakuna msaada pale bali uchuro tu
 
Unafikiri kwa nini hawajataja wengine au katika historia ya Tanzania una kumbukumbu yoyote ya kiongozi aliyewekwa blacklist kwa tuhuma za kudhulumu watu haki ya kuishi?

Kutokuwa kwao na democracy hakumpi haki mtu mwingine yeyote kuuwa watu. Jitafakari na angalau elimika. Nawia kusema Makonda ni kiongozi katili kuliko wote na mbaya zaidi atumii akili nyingi kung'amua mambo kwa weledi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Haitasaidia bado vikwazo na wahusika wengi watatajwa kwani makonda alikuwa anafanya kazi hiyo peke yake ?Na alikuwa anaagizwa na nani?Wapo wengi mno wataenda na maji .
 
Wanakufa Afghanistan na Iraqi ni Ng'ombe wa kulimia
Ndugu wana JF, kila mmoja amesoma tamko la hasira la Marekani juu ya Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam ndugu Paul Makonda.

Kwa desturi za USA, mlengwa mkuu hapo ni Rais Magufuli na serikali yake, walichofanya ni kuipima serikali yetu itamfanya nini Makonda baada ya wao kutangazia Dunia kuwa hawataki akanyage Marekani.

Makonda asipoondolewa, tujiandae kususiwa na Dunia nzima, maana Marekani ndio taifa lenye nguvu za kila aina Duniani.

Hata mataifa yanayojitegemea Kiuchumi yana ufyata kwa Marekani, sembuse sisi tunaojitegemea kwa asilimia 56%? Huku 44% tukitegemea kusaidiwa na Mabeberu?

Kama unajua trend reading, Ubalozi Marekani walikuwa wanatoa taarifa inayofanana na balozi nyingine kama ubalozi wa Ulaya, Uingereza nk.

Usishangae ndani ya siku chache ukawasikia washirika wa Marekani nao wakimpiga marufuku Makonda kukanyaga huko.

Kama serikali ikizembea kumfukuza Kazi Makonda ili kujisafisha, usishangae likatoka tamko la kuzuia misaada kwa Tanzania, halafu tuwekewe na vikwazo ikiwa ni pamoja na kuzuia watalii wasije Tanzania kwakuwa ni nchi hatari kiusalama.

Wazungu wanaweza kutukumia vyovyote, hambo la msingi na haraka ni kumuondoa Makonda ofisini na kuteua mtu mwingine atakaefanya tofauti.

Chonde Chonde washauri wa Rais Magufuli, tunawapenda sana na tunaipenda serikali yetu, Makonda Mmoja asiingize nchi kwenye mgogoro wa Kidiplomasia.

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sikitiko langu kubwa ni tuhuma aliooredheshewa ya kudhulumu uhai wa watu kadhaa (kukatisha uhai wa watu kabla ya wakati wao). Hili ni jambo ambalo serikali inapaswa ilitolee maelezo ni kwa namna gani vyombo vya usalama vya nje vifahamu pasipo na vyombo vyetu vya ulinzi na usalama kufahamu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu upo sawa kabisa itakuwa niajabu ikiwa vyombo vya ulinzi vya nje vinaweza kufahamu mahovu ya mkuu wa mkowa alafu interejensia ya ndani ishindwe kuyajuwa hayo Mambo ya zulma
 
Sasa wakuu wetu hawayafahamu haya??
Hawana haja ya kuja huku. Hiyo kazi wanampa dogo wa fildi anachokonoa kwenye kilaptop chake ndani ya dakika 3 taarifa zote wanazo.
Unaweza kuta wanazo picha za satellite na video za satellite za matukio yote yasiyoeleweka. Mpaka coordinates zao ili wakitaka wanaweza kufanya alichofanyiwa jenerali wa iran.

Mawazo:Serikali ikitaka isifatiliwe kwa njia ya sattelite. Wahakikishe wanaezeka barabara zote Tanzania kwa mabati manene kwa juu ili magari yapite chini ya paa la mabati.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kuna wakati Waziri Kabudi alienda ziara Marekani.
Wakati wa mahojiano na waandishi wa habari, aliulizwa, " kwa nini Serikali ya Tanzania haijafanya uchunguzi na kutoa taarifa kuhusu Tundu Lissu kupigwa risasi"
Alijibu kwa kuwauliza swali. " Kwani nini hadi leo toka aliyekuwa Rais wa Marekani , John Kennedy kupigwa risasi na kufa miaka mingi iliyopita hadi leo hakuna taarifa rasmi iliyotolewa kuhusu mauaji hayo"
Kiuhalisia aliuliza vizuri.
Lakini wanafalsafa hunena , The boss is always right.
Mkubwa huwa hachelewi ila anakawia kufika.
Kwa waswahili mzee akiharibu hali ya hewa, humsingizia mto to aliye akaribu naye.
Inchi kama Tanzania hatuwezi kujilinganisha na Inchi ya Marekani.
Katika maamuzi magumu ya Ki dunia Marekani ana veto power.
Kwa hiyo katika swala hili kubishana na Marekani ni sawa na kugombana na hakimu mahakamani au raia wa kawaida kugombana au kubishana na Rais Makufuli.
Tuwe wapole na tutafakari na tukubali yaishe kwa maslahi ya Taifa letu.
 
Tusubirie taarifa ya Msigwa Jumapili 2/2/2020, ikipita bila tamko tujue Jiwe la mtoni halipasuliwi hata na moto.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Unafikiri kwa nini hawajataja wengine au katika historia ya Tanzania una kumbukumbu yoyote ya kiongozi aliyewekwa blacklist kwa tuhuma za kudhulumu watu haki ya kuishi?

Kutokuwa kwao na democracy hakumpi haki mtu mwingine yeyote kuuwa watu. Jitafakari na angalau elimika. Nawia kusema Makonda ni kiongozi katili kuliko wote na mbaya zaidi atumii akili nyingi kung'amua mambo kwa weledi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kumbe kumlinganisha na Kanali Maliyamungu yule muuaji wa IDD Amin aliyekuwa anaogopwa na viongozi wote kasoro bosi wake Amin ilikuwa sawa? Kijana mdogo namna hiyo una mikono imejaa damu?
 
Hakuna nchi ambayo CIA hawaoperate, hiyo ni Taasisi kubwa sana duniani. watakuwa wanajua hadi makonda ana ajenda gani in the near future, na kwakuwa makonda ni mmoja wa wasemaji wakuu wa hii nchi jamaa watakuwa na siri zetu zote, sasa hiyo ndio noma zaidi..

Sent from my iPhone using JamiiForums
Yahani walipoteua tu balozi wa kudumu.niliogopa nikajua mbele kunashida.kama mlizoea kumshambulia mama wa watu haya kaja dume pambaneni nae

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom