Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Picha ingewafanya waje haraka kuutoaWanabodi kwa hapa Tabata Kimanga njia ya kwenda machimbo ukitokea Chang'ombe, kituo cha Mbuyuni
Mbuyu ulioanguka hapa una siku nne. Serikali ipo wapi? Njia mbadala ni ipi?
Hiyo ni njia yetu ya kila siku