Nakumbuka nikiwa mdogo, palikuwa na siku ya maendeleo Mara moja kwa wiki. Yaani siku Hiyo watu wanaenda kumfanya kazi ya usafi au kusogeza tofari za shule/zahanati, kuzibua mitaro n.k Asiye na muda anaweka pesa inayotosha kumlipa kibarua afanye kazi badala yake.
Leo tunasubiri mwenyekiti amwambie mtendaji, mtendaji aombe excavator ya halmashauri kupitia kwa technician wa Wilaya, technician amwambie DED.....