Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo.
Anatamka hadharani kuwa mkuu wa nchi aliyefariki alituma watu wachome nyumba yake.Na anakiri waliochoma wamemuomba radhi, kwa nini asiwapeleke polisi? Maana kuchoma moto nyumba ni jinai na haina mwisho .
Anachafua hadharani kuwa taasisi ya rais inatumia maofisa wa serikali kufanya uharifu alafu anaachwa tu. Kwa nini amchafuae kiongozi aliyetangulia mbele za haki? Alafu anaangaliwa tu?