Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
- Thread starter
- #21
Tuache ukweli uongee. Hakuna anayetetea. Chuki zako zinakufanya udhanie ndivyo sivyo.Kiongozi aliyetangulia yaani Magufuli, hachafuliwi kwa kuwa alikwishachafuka kabla.
Yanayoongelewa kuhusu yeye na Zitto Kabwe ni kama kusoma ukurasa mmoja wa kitabu, lakini bado kuna page 500 za uozo na maovu ya DIKTETA huyo.
Kadri unavyoandika nyuzi nyingi za kumtetea Magufuli wewe Nyankurungu2020 ndiyo unavyoonyesha USUKULE wako.
Watu waliochoma moto walifanya kosa la Arson. zitto anatakiwa awapeleke polisi sheria ifuate mkondo. Sio kudanganya kumchua hayati JpM