Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Huyu ZZK atawatoa rohoMtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo....
Bora umesema asee, mtu mzima unaamka kabla hata ya kunywa chai unaanza kumsema mwanaume ZZK . Chuki, wivu, husda na dhiki ndio vinawasumbua watu wa namna hii.We jamaa hujaacha(ga) kujibembeleza tu. Naona serikali imetangaza ajira za walimu fanya uombe ndugu yangu. Hiyo degree yako ya ualimu ya DUCE itakuozea kabatini,utakufa na njaa hizi sio zama za kujikombkomba. ZZK ile ni think tank ndugu yangu sio saiz yako...
Anaachwa kwasababu; "ni bora nusu shari kuliko shari kamili".Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge. Huu ni upendeleo...
Hii ni tabia mbaya ya kisiasa.Ukiona hivyo ujue matendo yake yana baraka za wakubwa.
Acha hizo wewe!Mwislamu huyo,hagusiki awamu hii.
Muda gani?unavoleta habari ujumbe wako uendane na muda
Unataka uwe mke wa pili wa baba?Mama yako ana mume?
Kiongozi aliyetangulia yaani Magufuli, hachafuliwi kwa kuwa alikwishachafuka kabla.Mtu anapotosha umma kuwa zaidi ya wananchi mia moja wameuwawa na jeshi la polisi. Ushahidi upo wazi na anatiwa hatiani alafu sababu ni mwanasiasa anapewa adhabu ya Conditional discharge...