Serikali inafanya makosa kutomfunga jela Zitto Kabwe kwa makosa ya uchochezi anayofanya. Afungwe kwa mujibu wa sheria ili iwe fundisho

Tuache ukweli uongee. Hakuna anayetetea. Chuki zako zinakufanya udhanie ndivyo sivyo.

Watu waliochoma moto walifanya kosa la Arson. zitto anatakiwa awapeleke polisi sheria ifuate mkondo. Sio kudanganya kumchua hayati JpM
 
Moto ulichoma nyumba mwaka 2018/19? wakati DIKTETA Magufuli yuko hai. Sasa huyu Zitto angefungua mashtaka yake kwenye Kituo gani cha Polisi? Ila nakusifu Nyankurungu2020 kwa kujitoa UFAHAMU, kwa hilo tu huna mshindani
 
Cjakuona hapa chato mkuu nipo maeneo ya airport!
 
Serikali haiwezi kumkamata maana wanajua alichokuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani. Wanaweza kumkamata ili kumziba mdomo, lakini sio kuzuia ukweli aliosema dhidi ya Magufuli.
 
Serikali haiwezi kumkamata maana wanajua alichokuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani. Wanaweza kumkamata ili kumziba mdomo, lakini sio kuzuia ukweli aliosema dhidi ya Magufuli.
Ina maana watu mia moja na ushee waliuwawa huko Kigom?

Watumishi wa seriklai/ Maafisa wq ikulu walichoma moto nyumba ya Zitto?
 
Ukiona mtu Ana toa tuhuma kama hizo na bado hachukuliwi hatua kuna mawili ... eidha niyakweli, au kuna watu wapo nyuma yake
 
Natamani sana masalia ya mwendazake mngekuwa mnaamini kwenye utawala wa sheria siku zote, tusingefika hapa tulipo. Baada ya kuwa mayatima ndo mnaanza kuona umuhimu wa utawala wa sheria.

Kweli siku hazigandi.
 
Wakimkamata ujue hicho alichosema sio cha kweli.

Lengo la uzi wako tumeshaijua
🤣🤣
 
Hawa waliopo madarakani hivi Sasa, ndio walikuwa watu wa karibu zaidi na Magufuli kuliko wewe uliyekuwa unamuona kwenye TV wanajua maovu ya Magufuli na wanajua anachosema Zitto ni kweli, ndio maana wameanzisha hii kitu inayoitwa maridhiano
 
Serikali haiwezi kumkamata maana wanajua alichokuwa akifanya Magufuli dhidi ya wapinzani. Wanaweza kumkamata ili kumziba mdomo, lakini sio kuzuia ukweli aliosema dhidi ya Magufuli.
Samia mwenyewe anafurahi Magu akisemwa vibaya, JPM naye alikuwa akifurahi JK alivyokuwa akisemwa vibaya....Ila kisirisiri
 
Zitto Kabwe ni kishoka wa CCM, hawezi kufanywa kitu huu ndiyo ukweli wenyewe
 
Hao ni mufilisi wa kisiasa nchini.
Wameishiwa sera wamebaki na Visasi Rohoni.
Wengine nao michango imebuma huko mtaani.
 
Hao ni mufilisi wa kisiasa nchini.
Wameishiwa sera wamebaki na Visasi Rohoni.
Wengine nao michango imebuma huko mtaani.

Nimecheka kwa nguvu nguvu, muumini wa dhalimu naona unapata tabu. Jitahidi kuvumilia ukweli.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…