Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona wananchi wananyanyasika hivi.
Kwanini serikali isuruhusu daladala kutumia Barabara za mwendo kasi kupakia raia ili kuwapunguzia shida hizi.?
Mlaaniwe wote mlioko kwenye maamuzi kwa manyanyaso mnayowafanyia watanzania hawa kwa kushindwa kuruhusu wenye daladala kutoa huduma kupitia Barabara za mwendokasi wakati hamuwezi kutoa huduma ya usafiri.