Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

Mungu awalaine viongozi wa UDart na uongozi wa serikali kuanzia ikulu, wizarani ,office ya mkuu wa mkoa na familia zao.Waugue kansa na wafe ikiwatesa kwa sbbau wanatunayanysa sana. Hadi sasa tangia saa 11 wananchi wasiozidi 100 ndo wamepakiwa wakati kityo kinawatunkama elfu 3.
Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.

Je, kwanini Serikali inakubali kunyanyasa wananchi wake hivi? Waziri wa Tamisemi na Mkurugenzi wa UDart unafurahia nini kuona wananchi wananyanyasika hivi.

Kwanini serikali isuruhusu daladala kutumia Barabara za mwendo kasi kupakia raia ili kuwapunguzia shida hizi.?

Mlaaniwe wote mlioko kwenye maamuzi kwa manyanyaso mnayowafanyia watanzania hawa kwa kushindwa kuruhusu wenye daladala kutoa huduma kupitia Barabara za mwendokasi wakati hamuwezi kutoa huduma ya usafiri.
Wamepitisha bajeti ya mavieiti hela ipo
 
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
zikijaa hazisimami
watu aftatu ni wengi andamaneni mkamchomoe ikulu aje awatatulie matatizo yenu mkishindwa basi hatma ipo mikononi mwenu
 
Nasikia yamekufa mengi sana na hawataki kutengeneza, sijui kwanini?
Barabara ya peke yao,mabasi wamepewa na serikali kazi yao ni kuyasimamia tu,hawana foleni kana mabasi mengine,hawana faini wala mabao ya tradiki,serikali makini hao dart saa hz wangekua jela,how come washindwe kuendesha biashara rahisi kama ile,kuna mtu anamiliki kihiace kibovu lakini faida anaiona,dart pesa wamepeleka wapi!
 
Na hapo tayri mmeuza kwa mwekezaji mpya.lakini kilio ni kilekile TU.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Nasema hivi nimefika kituo cha NBS saa 12 nimeondoka na mwendo Kasi ya kuja mbezi saaa 2.30 usiku.Mungu awalaani viongozi wa serikali na CCM Yao kwa kunyanyasa watanzani..Yaani Asubuhi kukaa kituoni unakaa Saa 1.30 jioni unakaa masaa 2.30,,hivyo mtu anapoteza massa 4 hado 6 sbab ya usafiri mbovu wa BRT
 
Yale mabasi yaliyokuwepo mwanzo yako wapi?

Yani ni ajabu sana..

Walikuwa na bus 400..saivi ziko 100 sijui.. Hawajaweza kuongeza bus hata moja.. Basi hata kufanya service na ku maintain yaliyopo wameshindwa..

Biashara ina wateja hadi wanazidiwa.. Mafuta wana nunua kwa bei ya serikali bila VAT.. Wanakwama vipi hawa!?????

Inakera sana hii... Mwendokasi imegeuka kuwa hasara kwa wasafiri badala ya faida... Fumua Yote hii... Sio cosmetic change ya kubadili MD pekee..
 
Poleni sana
 

Attachments

  • IMG-20231125-WA0008.jpg
    IMG-20231125-WA0008.jpg
    58.3 KB · Views: 3
Hali ni mbaya sasa masaa mawili gari inapita nankupakia watu wasiozidi 20 na kuondoka.Bahati mbaya gari Moja inapita kila baada ya dk 30 na kupakia watu 10 au 20 wakusimama nakuondoka.Ni Mateso sana.Vyombo vya habari havimuliki hili Wala vyama vya upinzani vimekalia kuongelea mambo yasiyo ya maana badala ya kuchukua hii kama agenda kwa wakati wa Dar nakuongelea wanachi wanavyonyanyaswa na serikali lakini hawaoni kama hii ni fursa yakutoa elimu ya ulalia.Senegal wapinzani walitumia fursa kama hizi na kuingia ikulu
Mlivyokuwa mnaipigia CCM MLIITEGEMEA Nini na Bado mpaka mteme bungo
 
Back
Top Bottom