Serikali inanyanyasa wananchi Dar kupitia mwendokasi

Inasikitisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wamepitisha bajeti ya mavieiti hela ipo
 
Wananchi elfu tatu wako vituo vya hapa NBC bank mjini kati tangu saa 11, hakuna gari inayopakia bali zote za kwenda Mbezi na Kimara zinapita zimejaa na hazisimami.
zikijaa hazisimami
watu aftatu ni wengi andamaneni mkamchomoe ikulu aje awatatulie matatizo yenu mkishindwa basi hatma ipo mikononi mwenu
 
Nasikia yamekufa mengi sana na hawataki kutengeneza, sijui kwanini?
Barabara ya peke yao,mabasi wamepewa na serikali kazi yao ni kuyasimamia tu,hawana foleni kana mabasi mengine,hawana faini wala mabao ya tradiki,serikali makini hao dart saa hz wangekua jela,how come washindwe kuendesha biashara rahisi kama ile,kuna mtu anamiliki kihiace kibovu lakini faida anaiona,dart pesa wamepeleka wapi!
 
Na hapo tayri mmeuza kwa mwekezaji mpya.lakini kilio ni kilekile TU.


KAZI ni kipimo cha UTU
 
Nasema hivi nimefika kituo cha NBS saa 12 nimeondoka na mwendo Kasi ya kuja mbezi saaa 2.30 usiku.Mungu awalaani viongozi wa serikali na CCM Yao kwa kunyanyasa watanzani..Yaani Asubuhi kukaa kituoni unakaa Saa 1.30 jioni unakaa masaa 2.30,,hivyo mtu anapoteza massa 4 hado 6 sbab ya usafiri mbovu wa BRT
 
Yale mabasi yaliyokuwepo mwanzo yako wapi?

Yani ni ajabu sana..

Walikuwa na bus 400..saivi ziko 100 sijui.. Hawajaweza kuongeza bus hata moja.. Basi hata kufanya service na ku maintain yaliyopo wameshindwa..

Biashara ina wateja hadi wanazidiwa.. Mafuta wana nunua kwa bei ya serikali bila VAT.. Wanakwama vipi hawa!?????

Inakera sana hii... Mwendokasi imegeuka kuwa hasara kwa wasafiri badala ya faida... Fumua Yote hii... Sio cosmetic change ya kubadili MD pekee..
 
Poleni sana
 

Attachments

  • IMG-20231125-WA0008.jpg
    58.3 KB · Views: 3
Mlivyokuwa mnaipigia CCM MLIITEGEMEA Nini na Bado mpaka mteme bungo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…