choza choza
JF-Expert Member
- Jan 17, 2019
- 2,081
- 3,831
Mkuu, kiuhalisia kabisa bila ushabiki kiswahili hakitupeleki popote. Nchi yetu bado ni tegemezi, tunategemea kutumia tafiti zote za kiteknolojia, kisayansi nk. zilizofanyika na nchi nyingine. Sisi bado wachanga mmno ktk dunia hii hatujielewi. Ukitofautisha na nchi nyingine zilizojiwekeza kwenye tafiti za sayansi na technologies. Wanasema kiswahili kitumike kufundishia watoto wao wanasoma mitaala ya kingereza kalaga bahoWazo la serikali kufundisha kwa lugha ya kiswahili mpaka vyuo ni jema sana, kuendelea kuking'ang'ania kiingereza ni ujinga
Hakuna kitu kama hicho, mkuu. UN Kiswahili kinaheshimika, sasa je?Mkuu, kiuhalisia kabisa bila ushabiki kiswahili hakitupeleki popote. Nchi yetu bado ni tegemezi, tunategemea kutumia tafiti zote za kiteknolojia, kisayansi nk. zilizofanyika na nchi nyingine. Sisi bado wachanga mmno ktk dunia hii hatujielewi. Ukitofautisha na nchi nyingine zilizojiwekeza kwenye tafiti za sayansi na technologies. Wanasema kiswahili kitumike kufundishia watoto wao wanasoma mitaala ya kingereza kalaga baho
Devide and rule, lazima watengeneze matabaka ili kupanua wigo wa familia zao kuwa the rulling class foreverBado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je nini kinawakwamisha
1. Walimu hawana uwezo?
2. Wanalinda biashara ya shule za mabasi ya njano kukosa wateja?
3. Wanaogopa kiswahili kitapotea?
Au ni nini hasa?
Mwanafunzi anamaliza kidato cha nne hata kuomba maji kwa kingereza haju.
Kwanini isiwe kiswahili, kutokujiamin ni maradhi yanayotibikaBado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je nini kinawakwamisha
1. Walimu hawana uwezo?
2. Wanalinda biashara ya shule za mabasi ya njano kukosa wateja?
3. Wanaogopa kiswahili kitapotea?
Au ni nini hasa?
Mwanafunzi anamaliza kidato cha nne hata kuomba maji kwa kingereza haju.
Kenya wanafundishwa kingereza toka Chekechea na kiswahili wanakimudu barabara hata nje ya nchi ndio wanaongoza kuwa walimu wa kufundisha lugha ya kiswahili mataifa mbalimbali na vyuo kibaoWazo la serikali kufundisha kwa lugha ya kiswahili mpaka vyuo ni jema sana, kuendelea kuking'ang'ania kiingereza ni ujinga
Kiswahili chenyewe kinatushinda sembuse lugha ya watu tusiyoijuwa?Bado nashindwa kuelewa kwanini serikali bado inapata kigugumizi kuamua tuu kingereza kiwe lugha ya kufundishia kuanzia shule ya msingi hadi chuo kikuu ili kuendana na teknolojia na ulimwengu. Je nini kinawakwamisha
1. Walimu hawana uwezo?
2. Wanalinda biashara ya shule za mabasi ya njano kukosa wateja?
3. Wanaogopa kiswahili kitapotea?
Au ni nini hasa?
Mwanafunzi anamaliza kidato cha nne hata kuomba maji kwa kingereza haju.
Usisahau kukuza ajira kimataifa za walimu wa kiswahili hiyo ni kukuza uchumi pia kwa kuleta pesa za kigeni kwa ku export walimu wa kiswahiliMawndeleo sio lugha peke yake bali ni jitihada
Kuendana na dunia ni moja na kukuza uchumi wetu ni jambo lingine
Kama hata packaging ya matunda hatuwezi sasa tutauza lugha?
LUHakuna kitu kama hicho, mkuu. UN Kiswahili kinaheshimika, sasa je?
Nini kinachokosekana au kushindikana kufundishia kwa Kiswahili? Mbona hadi vyuoni maprofesa na wahadhiri wanakiswang'anya Kiingereza huku wakitumia Kiswahili kama kawaida?
Jambo la msingi, maandalizi muhimu yafanyike halafu utajionea mwenyewe. Tena Kiswahili kinaweza kuwa bora kabisa hata kuliko Inglishi.
Miaka zaidi ya 100 ya matumizi rasmi ya Kiswahili, halafu bado watu wanadai eti ni lugha changa?